Nikuwa nimepea my friend phone acall msee, after kupiga alipea my phone nakatumiwa hizi messages na cjui ni za nini…
[ATTACH=full]175476[/ATTACH][ATTACH=full]175476[/ATTACH]
Mwenye anajua ni za nini hizo anaweza saidia mm.
What happens when you click the link?
Inanipeleka kwa Google map
Si ungemuuliza alikua akifanya nini kwa hio simu isipokuwa kupiga peke yake?
By the way ni kama hiyo nugu ilicheza na Access Point Name yangu .
Wacha excuses mingi.Upgrade simu.Utatumia aje network ya stone age?
Looks like an sms report ya lock system ya gari ama nyumba
Ata kama phone nimzee mbona nikipigia mtu najua haileti hizo txt?
(Latitude na longitude) zinakujia wapi
maybe location ya gari
Hio ni tracker ya gari. TK103 ama TK303 sana sana ndio common huku. Nothing to worry about. Call the same number. It will return similar messages.
Infact, you can listen in to what’s happening in the car if the mic was installed.
Atatrack wife nini?
Inaonekana umeshaa jibiwa na wataalamu.
Car Tracking
This cut out ya car track
Are you sure these are not co-ordinates of a location, probably tracking information?
Thenkiyu