What the most fvcked up Sh1t u have seen on ur Plot

jirani alipigiwa simu na wife wake akilia ati mtoi amejifungia kwa ndani…mlango ya chuma…

sasa this lady alikuwa anapika food iko kwa gas akasema aende maziwa kwa duka iko tu apo chini …akawacha mtoi akicheza…

kumbe mtoi alifuata mama yake,nakuanza kucheza na mlango…ile lock ya pale chini ikajifunga…
mama kurudi mlango haifunguki …akaingia panic mode…akajaribu kubang mlango lakini wapi…

sasa watu wakakuja wakavunja dirisha kujaribu kurusha wire ifunguwe iyo lock…lakini wapi

mtoi naye kuona stranger wanarusha vitu kwa window aka anza kulia…

mama yake pia aka anza kulia

kumbuka chakula inaunguwa jikoni…

mzee wake kufika anapataa crowd kwake mlangoni…wacha jamaa afuree akajaribu kubang mlango kama brock lesner lakini this made it worse juu mtoi alianza kulia akaenda kujificha jikoni…

sasa shit got real when chakula ilianza kutoa ile harufu ya kuwa over cooked …

apo ndio sparta alisuggest kama tunaweza pataa Grinder tukate edge za mlango…

simu zikapigwa na with 15 minz of panic na kujaribu kuvunja grills za dirisha jamaa wa Grinder akacome
tukamshow akatee hinges akatushow hakuna haja…tumuonyeshe pale iyo lock iko…jamaa aka anza kazi…zile sparks zilitoka za welding apo…village mzima ilikuwa apo …

mtoi now alikuwa analia ile mbaya na afraid nayo moshi ilikuwa imejaa kwa nyumba…eventually mlango ilifunguka

it was a very sad and emotional moment kama ending ya movie…mtoi akachukuliwa akatolewa nje…

gas ikazimwa … the kid was taken for check up alikuwa amemeza moshi sana… she was discharged after 2 days…
uyo husband sijui kama alitandika bibi juu vile macho zake zilikuwa red iyo siku…

angusha heka yako

Hiyo ni noma…

Cunt relate. Mbirrionare hapana ishi kwa plot.

This is what you get marrying some of these women like…
[ol]
[li]@Purple[/li][li]@Phenomenal Woman / @pseudonym mmoja wao[/li][li]@Phylgee[/li][li][USER=7147]@Georginamakena[/li][/ol]
[ul]

Instead of marrying this type of women afadhali you poop on your palm and wank away everytime the urge comes[/USER][/ul]

Dame fulani alikuwa anachezwa na the boyfriend or labda it was her imagination, akaamua kumfungia inje one night, jamaa aka knock dame hafungui, dame anataka aambiwe mbona huyo jamaa humangana inje. Hii yote dame anataka waongee akiwa kwa balcony jamaa akiwa hapo chini, wanaishi 1st flr., mimi niko 2nd flr na grd flr kuna a family with adolescent girls. Ikafika place dame akauliza “is it because I don’t give you enough sex”, jamaa akaonahii ni ujinga akajitoa. Following day walikuwa kimoja

Nimeishi kwa plot flani iko na 4 small gated units na common background iko na kitchen gardens. Tukiwa kazini mama fulani akapigia mzee wa mkono simu akamlimie shamba. Kumbe mzee akachanganyikiwa akalima mugunda ya neighbor.

Jioni tukirudi kutoka kazini, mzee amekujia pesa. Kumbe mama amepata fala alilima shamba ya wenyewe akadai neighbor alipe. Neighbour akadinda. Mongo akazusha. Wamama wakaanza kubishana.

Kibare. Wakashikana. In a few short minutes wameshapigana mieleka wakatoana nguo matako wazi na bado wanapigana. Mmoja alikuwa daktari! Nilienda kujificha. Hehehee…

ahahah,ktalk madness at its maxima

Stupid bitch, how do you leave your gas cooker on and a kid in the house and go out?

Because you’re… guess what… a [SIZE=5]cunt[/SIZE]

weka hii in swahili or greek ,i believe it was not in english

There was a similar case with my uncle now minus the cooking. They solved the case by having a ka-kijanaa mwenye alitoshea dirisha ya bafu akaenda akafungua from inside. Sh!t was scary asf

:D:D:D:D

I had neighbors wagisu wakina @LIEN matha akaleta niece wake called Rose akuwe mboch, Kwa bedsitter, as she waits for the kcse results, aliniokolea sana, but Buda fisi naye akaanza mambo rose naye ni wale mamanzi free akaanza kupeana vitu, mathe akaajua and akafanya a sting operation, akapata Mzee red handed Kwa bed Na niece wake, maswali za ‘Rose, pwana yangu amekutombeko mara ngapi?’ ilifanya majirani wacheke mbaya. Rose alipandishwa Eldoret express the same night.

He he he!

Hahahahaaaaaaa…

Wazi @Tommy Lee Sparta

Hiyo ya kufungiwa inje na mtoi happened to me too.
I was with Him alone in the house. He was so interested in phones to alarming levels. When you receive a call you had to wrestle to keep on on your ear. Incase you win. He hadn’t mastered speech yet but kept uttering non intelligible words that you couldn’t have a mature conversation.
I got a call and chose to receive it in the veranda. I pushed the door to closing position but not locked. The kid unable to follow me oitside latched it at the bottom as He thought I had locked it.

That was some of my longest two hours. Luckily it was semi latched with constant banging it came loose.

Fifteen green emojis to these :D:D
khupipi was trying to find out kama threshold inafikishagwa ande iyo ingine

This place is funny.

no one thought of that