What's the difference between looting and stealing

Naulisa sababu hawa watu wa mayacos junction kina @vuja de waliiba na kupora Mali Jana kaa cruiser ya police iko hapo wakati hii truck ilichapa groundie
.

Subjective meaning. To owner it is stealing. To thief it is looting since they aren’t in contact with victim(s).

2 Likes

Huyo mse ako na spade akirusha ma scoop kwa cockpit ya lorry …what was the agenda?
[ATTACH=full]123930[/ATTACH]

Kenyans have no respect for private property, what is so hard for them to reason that, for those goods and the lorry to be on the road, it requires hard work.

6 Likes

he he he. kuna jamaa ana scoop na shovel na kurusha ndani ya cabin ya lorry yake.

2 Likes

Nii muthokoi , no worder it never rain in ukabaane !

1 Like

Looting unachafua yote mpaka evidence, stealing unachukua kidogo unabakishia mwenye kazi yakusafisha macho

1 Like

Looting…kupora/uporaji
Stealing…kuiba/wizi(kwa kawaida,hichi kitendo hutendwa pasipo na mwenyewe kujua).

1 Like

Kwanza ES ebu jibu wakati uli “chukua”…@pseudonym from @anum did you loot or steal… Tuanzie hapo kwanza tafasali!

2 Likes

Hehehe, you’ve made my day.
@amun @pseudonym njooni hapa.
Hii swali ni ngumu lakini can say i stole from @It’s Le Scumbag

3 Likes

Boss @mkiawakati utakunywa thubu fikombe nilipe?

You now get a chance to remind me of my forced friendship with OCS Makupa. A chance to rub it in… Ile revenge niko nayo inafanya press ups pale Ndunga Unuse ipitie Toa Tugawe ikichukuwa Kishada ikufikie @Meria Mata

4 Likes

Tulikua briefing na county Commander and your OCS was not there

1 Like

One stole from @It’s Le Scumbag and the other just looted as they watched…vile tu mnaona mahindi ikichotwa hapo. That’s the difference between looting and stealing.

4 Likes

So MMNN ndio “mwizi” WA mali ya uma?..

2 Likes

:D:D:D:D no comment.
Let’s just say “alooter” continua ;).

2 Likes

Nani hiyo bill silipi. Unaanza matusi umeanza hapa ni gani sasa? Ati @pseudonym sasa ni mali ya umma…

2 Likes

Mali ya UMA… As in kuumwa. Néékí maaní

2 Likes

Tangu agongwe na nduthi hajarudi poa

4 Likes

:D:D:D…saitan!!.. :D:D

2 Likes

I choose to read what I want…:smiley: