What's the worst decision you have ever made in your life?

Sijui kama niliwaambia hii story; it was before I quit lanyes. So tulikuwa tumelipwa that day, pesa ilikuwa moto moto.
I passed by the ATM, withdrew 40 cold ones, put them in my back pocket - the one opposite the wallet. You could feel the budge.

So my flesh whispers to me "si upite pale Latema karibu choo za kanjo, kuna kidem kisupuu tuliona huko". Mimi huyooooooo, nikaingia. Those days you didn't need to pick lanyes from outside, you could pay 150 and go upstairs, kuna wenye walikuwa na rooms huko you sample. So si nikalipa, nikapanda, finished my business and now came the hardest task; kushuka hizo stairs. It was very shameful. Mark you, I was an active church goer and was afraid someone could spot.

As if that was not enough, after I got out, karaos got hold of me. He hurriedly held my pocket and felt the budge, and that in the words of DJ Afro, "Makosaaaaa!" These guys hustled me and finally I parted with 3k, coz they handcuffed me and kepf me hapo nje ya choo, adding more guys. I began feeling like someone I know would find me there and immediately know my offence.

It was a very painful experience. Of course this is not my worst decision, but the first day I took the stairs upwards was the worst of course.
I thank God I came out, it was frustrating feeling so helpless.
.. Saa wewe ni 3k mimi nilikulwa 15K so yako shado..... I don't even pass that street anymore :D
 
Hii story ni jaba. :D:D:D 3 or 4 people go out kulewa. One doesn't come back and the family doesn't investigate these people. Saa hii wanafaa kuwa walifinywa makende. If it was true this nigga hangekuja kuflex hapa on kenyatalk he would die with the secret. Alafu anapeana too much details mpaka unajua tu it's fake. Ati pour one for the dead. Fake story but at least admin atakunywa Jameson leo.
Hahaha you have said.... the guy wants to get more and more responses nothing else... The story is fake.
 
Something happened tukiwa road trip. Like a boys trip to Mala

Fucked up, eh?
Hii nayo hapana.Many years ago nilikua nimeenda mazishi ya colleague karibu na nyumbani.So after burial and the usual kusalimiana na kupiga moja mbili, nikaamua kuenda kusalimia wazazi.Nafika kitu saa tatu napata tayari washalala.Inabidi nimejifungulia gate.Immediately after kufungua bosco akanirukia.Nikapiga ile mayowe silent ya kiume.Mutina imeshikilia jeans apa kwa ankles ikiwiggle haitaki kuwachilia.Nikafungua mlango haraka nikachomoa ile rungu must have.One touch chini.Nikafunga yeye ndani ya gunia kisha kwa boot ile mahali chini kwa spare tyre.One thing,the dog hadn't barked which was strange.Then it hit me that bosco never barked on family.Iyo kunipanda na kunishika jeans ilikua salamu tu.Alkohoo had tweaked my reasoning.Asubuhi nikiondoka nikaskia mzae akiuliza kama mbwa imepewa chakula.Some background info,that dog belonged to my grandma na alipokufa naturally ikahamia kwetu.Mzae loved it. Kibaridi kikanitwanga.Guilt nayo ikakick in.Anyway nilijitoa na nikarusha mzoga kwa mtaro njiani.That night sijui ni kufikiria mingi ama nini but I dreamt hitting my own mzae na rungu kwa kichwa then dumped his body kwa river.I think my conscience was punishing me.Combination ya sleep paralysis na insomnia.Alafu ju ya guilt naskia vitu zinaninyonga na madoggy zinabweka.Weird shit.Early the next morning nilirudi kutafuta mzoga banae but sikupata.I had to go do a symbolic burial to be at peace.To date I think dogs look at me funny or ni mimi niko na mental illness.Alafu iyo bosco since it belonged to my grandma am tempted to think ilikua ya kiganga.My psychologist told me its all in the mind.Sasa hii yenu ya kuua MTU na kumzika niaje huwa hawakujii kwa ndoto?Ama mlienda mkatibiwa?
 
Delus

Village Elder

Hio ni story.
Mtu akifanya kitu kama hio unaenda nayo to the grave.

Swali mmoja watu walijua wanaenda alafu warudi waless, lazima wangejibu maswali.

Hio kaburi walichimba wapi hapo. Lazima iwe ilikuwa msitu juu shamba ya mtu ingejulikana.

They mentioned a pokoste was in the mix, what happened?

If the family mentioned him as a missing person, si labda phone signal inaeza onyesha last place

Kuna jaberration hapa
 
Stee bn

Village Elder
Hii nayo hapana.Many years ago nilikua nimeenda mazishi ya colleague karibu na nyumbani.So after burial and the usual kusalimiana na kupiga moja mbili, nikaamua kuenda kusalimia wazazi.Nafika kitu saa tatu napata tayari washalala.Inabidi nimejifungulia gate.Immediately after kufungua bosco akanirukia.Nikapiga ile mayowe silent ya kiume.Mutina imeshikilia jeans apa kwa ankles ikiwiggle haitaki kuwachilia.Nikafungua mlango haraka nikachomoa ile rungu must have.One touch chini.Nikafunga yeye ndani ya gunia kisha kwa boot ile mahali chini kwa spare tyre.One thing,the dog hadn't barked which was strange.Then it hit me that bosco never barked on family.Iyo kunipanda na kunishika jeans ilikua salamu tu.Alkohoo had tweaked my reasoning.Asubuhi nikiondoka nikaskia mzae akiuliza kama mbwa imepewa chakula.Some background info,that dog belonged to my grandma na alipokufa naturally ikahamia kwetu.Mzae loved it. Kibaridi kikanitwanga.Guilt nayo ikakick in.Anyway nilijitoa na nikarusha mzoga kwa mtaro njiani.That night sijui ni kufikiria mingi ama nini but I dreamt hitting my own mzae na rungu kwa kichwa then dumped his body kwa river.I think my conscience was punishing me.Combination ya sleep paralysis na insomnia.Alafu ju ya guilt naskia vitu zinaninyonga na madoggy zinabweka.Weird shit.Early the next morning nilirudi kutafuta mzoga banae but sikupata.I had to go do a symbolic burial to be at peace.To date I think dogs look at me funny or ni mimi niko na mental illness.Alafu iyo bosco since it belonged to my grandma am tempted to think ilikua ya kiganga.My psychologist told me its all in the mind.Sasa hii yenu ya kuua MTU na kumzika niaje huwa hawakujii kwa ndoto?Ama mlienda mkatibiwa?
Hii ni ya doggie jus imagine a fucking human being
 
:D :D watu wako na maneno hahaha
 
Top