What's the worst decision you have ever made in your life?

Dorantes

Village Elder
Nilikua napiga deals na mpaka wadosi wa crown paints.. Napewa mpaka employee number.. Na nunua vitu on employee discounts... Then na bill my company...

I had so much cash... I'd forget like 300k..nili weka kwa bag pack... Ama some 100k kwa mfuko ya jacket...

Lakini nilikua nime konda ajab.. Juu sikua na amani... Every waking day.. I used to think.. Mayb this is the day I'll get arrested... Nili ishi kwa uwoga sana...
.
Na shida iko wapi hapo si ulikua unakula hio pesa unapewa discount. My biggest regret ingekua hukufanya kitu substantial na hio pesa. Ulifanya kitu imesimama imara?
 
wanaume mumepitia maneno jameni....i have never fuaked a lanye, no wife no kids...this forum has been a real teacher to me for the past 3-4yrs otherwise ata mimi ningewaangushia mahekaya haziishi hapa ..kwa wenye masaibu i wish you best of luck and find a way to get out of the mud...stronger together.!
Afadhali wewe mkuu
I have no wife and kids but Lanye msee got me early enough; sio makongeni hapo Gikosh na sio Mbuthia. The thrill of Rolling rubber on the D na ku smash Lanye happens to be my only poison
Pombe I’m an occasional drinker na weed hutumia once in a while na sijawahi kuwa hooked on weed
 
Hii nayo hapana.Many years ago nilikua nimeenda mazishi ya colleague karibu na nyumbani.So after burial and the usual kusalimiana na kupiga moja mbili, nikaamua kuenda kusalimia wazazi.Nafika kitu saa tatu napata tayari washalala.Inabidi nimejifungulia gate.Immediately after kufungua bosco akanirukia.Nikapiga ile mayowe silent ya kiume.Mutina imeshikilia jeans apa kwa ankles ikiwiggle haitaki kuwachilia.Nikafungua mlango haraka nikachomoa ile rungu must have.One touch chini.Nikafunga yeye ndani ya gunia kisha kwa boot ile mahali chini kwa spare tyre.One thing,the dog hadn't barked which was strange.Then it hit me that bosco never barked on family.Iyo kunipanda na kunishika jeans ilikua salamu tu.Alkohoo had tweaked my reasoning.Asubuhi nikiondoka nikaskia mzae akiuliza kama mbwa imepewa chakula.Some background info,that dog belonged to my grandma na alipokufa naturally ikahamia kwetu.Mzae loved it. Kibaridi kikanitwanga.Guilt nayo ikakick in.Anyway nilijitoa na nikarusha mzoga kwa mtaro njiani.That night sijui ni kufikiria mingi ama nini but I dreamt hitting my own mzae na rungu kwa kichwa then dumped his body kwa river.I think my conscience was punishing me.Combination ya sleep paralysis na insomnia.Alafu ju ya guilt naskia vitu zinaninyonga na madoggy zinabweka.Weird shit.Early the next morning nilirudi kutafuta mzoga banae but sikupata.I had to go do a symbolic burial to be at peace.To date I think dogs look at me funny or ni mimi niko na mental illness.Alafu iyo bosco since it belonged to my grandma am tempted to think ilikua ya kiganga.My psychologist told me its all in the mind.Sasa hii yenu ya kuua MTU na kumzika niaje huwa hawakujii kwa ndoto?Ama mlienda mkatibiwa?
I have a similar case:D Mimi kuna time nikiwa mdogo nimeachwa kuchunga area watu wameenda church. So kuna zile kuku za ocha vienyeji free-range zinasumbua. Mara zinaingia kwa keja kusorora, mara kwa shamba etc. Sijui ni hasiri ama ni nini but at some point zimenisumbua zikiingia ingia keja kwenye nilikuwa natulia nikiskiza ngoma. Nikachukua kifuli ilikuwa kwa meza nikairushia moja. Ikapata kichwa. Chini mara hiyo na hivyo ndo ikakufa. Kupanic nikaipeleka huko sides za ndani kwa shamba nikaitupa. After few days naskia mathee tu akiulizia kuku yake ilienda wapi. Mpaka ashaanza kublame jamaa alikuwa anatuchungia ng'ombe ati ameiba. Guilt saa hiyo inanichapa proper. Let me just say after like a week nilingoja tu mathee akiwa solo nikafanya confession nikilia. Nikapewa lecture for like 30 mins on why hiding a 'sin' is worse than commiting the actual sin. I was barely 11 years-old but the experience gave me a lifetime lesson bana.
 
JABA RANKS

Senior Villager
Hii nayo hapana.Many years ago nilikua nimeenda mazishi ya colleague karibu na nyumbani.So after burial and the usual kusalimiana na kupiga moja mbili, nikaamua kuenda kusalimia wazazi.Nafika kitu saa tatu napata tayari washalala.Inabidi nimejifungulia gate.Immediately after kufungua bosco akanirukia.Nikapiga ile mayowe silent ya kiume.Mutina imeshikilia jeans apa kwa ankles ikiwiggle haitaki kuwachilia.Nikafungua mlango haraka nikachomoa ile rungu must have.One touch chini.Nikafunga yeye ndani ya gunia kisha kwa boot ile mahali chini kwa spare tyre.One thing,the dog hadn't barked which was strange.Then it hit me that bosco never barked on family.Iyo kunipanda na kunishika jeans ilikua salamu tu.Alkohoo had tweaked my reasoning.Asubuhi nikiondoka nikaskia mzae akiuliza kama mbwa imepewa chakula.Some background info,that dog belonged to my grandma na alipokufa naturally ikahamia kwetu.Mzae loved it. Kibaridi kikanitwanga.Guilt nayo ikakick in.Anyway nilijitoa na nikarusha mzoga kwa mtaro njiani.That night sijui ni kufikiria mingi ama nini but I dreamt hitting my own mzae na rungu kwa kichwa then dumped his body kwa river.I think my conscience was punishing me.Combination ya sleep paralysis na insomnia.Alafu ju ya guilt naskia vitu zinaninyonga na madoggy zinabweka.Weird shit.Early the next morning nilirudi kutafuta mzoga banae but sikupata.I had to go do a symbolic burial to be at peace.To date I think dogs look at me funny or ni mimi niko na mental illness.Alafu iyo bosco since it belonged to my grandma am tempted to think ilikua ya kiganga.My psychologist told me its all in the mind.Sasa hii yenu ya kuua MTU na kumzika niaje huwa hawakujii kwa ndoto?Ama mlienda mkatibiwa?
There is a natural order to this world, and those who try to upend it do not fare well.
 
Well, whether you believe in the Bible or not, here is the truth.

That 'natural order' is the order of death and is what Satan uses/manupulates.

The Order of Death
Nevertheless death reigned from Adam to Moses, even over them that had not sinned after the similitude of Adam's transgression, who is the figure of him that was to come (Romans 5:14).
Death ruled over everybody, even over those who did not sin. So men got used to fearing and obeying death and passed down the ways of death to their generations via cultural practices.
..............

But Christ came and overcame death on the cross and those who follow him do not cooperate with the ways of darkness. That's why Satan persecutes them and kills them.

BUT victory is sure even if they die, dying in obedience to God. Yaani wakimfuata Yesu.

Life After Death
For whosoever will save his life shall lose it: and whosoever will lose his life for my sake shall find it (Matthew 16:25).

People try to "save themselves" by obeying the natural order. Embracing the ways of death so they can be left alone.
Those who resist that natural order and refuse to give up are overcomers already, even through they suffer in this present life.
>>
And they overcame him [Satan & the order of death] by the blood of the Lamb, and by the word of their testimony; and they loved not their lives unto the death (Rev 12:11).

So, as you said, "There is a natural order to this world, and those who try to upend it do not fare well."

BUT WHAT'S THE POINT OF FIGHTING FOR THE LOSING SIDE?
 
Last edited:

JABA RANKS

Senior Villager
Our lives are not our own. From womb to tomb, we are bound to others, past, present and future. And by each crime and every kindness, we birth our future
Well, whether you believe in the Bible or not, here is the truth.

That 'natural order' is the order of death and is what Satan uses/manupulates.

The Order of Death
Nevertheless death reigned from Adam to Moses, even over them that had not sinned after the similitude of Adam's transgression, who is the figure of him that was to come (Romans 5:14).
Death ruled even over those who did not sin.
..............

But Christ came and overcame death on the cross and those who follow him do not cooperate with the ways of darkness. That's why Satan persecutes them and kills them.

BUT victory is sure even if they die, dying in obedience to God. Yaani wakimfuata Yesu.

Life After Death
For whosoever will save his life shall lose it: and whosoever will lose his life for my sake shall find it (Matthew 16:25).

Those who resist that natural order and refuse to give up are overcomers already.
>>
And they overcame him [Satan & the order of death] by the blood of the Lamb, and by the word of their testimony; and they loved not their lives unto the death (Rev 12:11).

So, as you said, "There is a natural order to this world, and those who try to upend it do not fare well." But what's the point of fighting for the losing side?
 
Top