It's a Saturday morning and my life choices have me wondering. Nimepata kitu swaffi but kunguru ikaleta noma ati haiezi tumia cd, ako allergic. Ameinsist hadi nikaacha ikae huku Bishop amekaa kama North Korea ready to go nuclear. Huyu ni wa tatu amekataa cd na sitaki kuwa statistic kwa strain sijui. Wakubwa nyi hudo aje?