What's your No 1 Travel Destination ?

#71
Dominican Republic, Cuba and Jamaica, kisha Colombia, Brazil halafu Angola.
Hizi zako ziko strategic vipoa sana. Unaeza fly to Santo Domingo, Take a ship to Cuba, Uingie hapo mbele Bogota, teremka Brazil then umalizie Jamaica. Hehe, Jamaica ni pilgrimage mzuri sana ya mtu wa Vihiga County. Unafika 254 unakaa 2 months kabla kichwa iwe clear.