What's your watch?

I got myself this. What do you have?[ATTACH=full]231029[/ATTACH]
Wakukojolea thread, look for the nearest bush and empty your bladders.

Nyinyi KK security guards munatusumbua na 25k salo

Nikama maembe zinaisha

Mbirionaire what do you have? Meffi

Nitapata battery ya Y1 wapi?Hiyo ndio watch

G-Shock; Red, Black, White, Orange, Green and Yellow.

@kah tony @M2Random kujeni mjichoche hapa

badilisha hio watch ya watoto and get yourself a G-steel

Currently niko na DMAX knockoff! Lakini inaonyesha time at least. Nataka ku upgrade to Casio edifice ama Curren kama mbaya.[ATTACH=full]231053[/ATTACH]

I hate digital watches btw, unless kama ni sports watch!

Ama Garmin gps sports watch

Classic seiko 5 automatic … watch za wazee

real billionaires out there have collections of $50,000 timepieces na hawasumbui,lakini watchman wa muhindi akinunua a fake replica watch lazima kila mtu ajue. 99.9% of all luxury brand watches you see people wearing in Nairobi are fake replicas!!!

Hizo za wazee ni kama wanataka kuzikwa nayo. Nimejaribu kuconvince wazee wengi lakini na ambulia pa tupu

Buda, not many people buy their kids $150 watches. I prefer the layered band military colour series.

Wazito wa Chopard Mille Miglia tusimame wapi?

Kwani wewe ni yellow yellow?

Currently wearing saa ya mia mbili.

98% of Nairobians are clueless about watches and their prices. Its not a status symbol anymore!

Yellow kitu gani!!

Hii ukinunua you can never let it go …