Whatsapp+ ban

Status
Not open for further replies.
#1
Whatsapp+ users wamekua banned... Ilianza jana.. Watubwenye wako na modifications za version 6.70 ama 6.72 ndio nadhani wamekua affected

Mimi natumia 6.50 na sijakia banned.. Maeby juu sina google play services na market tooKama unatumia whatsapp+ na huja banniwa prepare :D

This is from a banned friend.. Yesterday

IMG_20150121_080708.jpg

Na pia hii
IMG_20150121_080752.jpg
 
Status
Not open for further replies.

Top