na maboys sisemi zile thigira huwa tunajengewa after class 8…tukitoka circumcision…
when did you get your own place,away from the folks…
juu nasoma post jamaa ako 32 yrs na bado ako na room kwa wazazi wake:mad::mad:
mimi tommy after form 4… iyo mtaa yetu ilikuwa tu kukunywa KEG na Muratina na ku hook up na girls wale walikuwa gals school juu nyenge zilikuwa zinawasumbua sana… hakuna kitu constructive tulikuwa tunafanyaa…msoto ilituchapa vizuri na since lazima tutafutee chapaa za KEG na za kubuy Condom lazima tugetafuta kazi…
sasa unajuwa kutafuta kazi ushago bill any experience iyo ni kazi tu ya mjengo…
na walikuwa wanalipa 200ksh per day working from monday to sato unapewa 1200ksh
sasa tommy nikasema nijaribu mjengo…kupandisha mawe first floor hadi third floor sio mchezo…halafu kubebwa ufala na mafundi:oops: kumbe bullying iko kila mahali…halafu morning munakunywa uji na chapo mbili iyo ni 40bob…na lunch githeri ya 100ksh…na unalipa bill sato ukilipwa salo…so bill ya chakula ilikuwa inakuja 140 per day na kumbuka unalipwa 200 per day…:eek:
nilienda for one week ni ka quiet after kurudi na 360ksh home after a week hustle:(…kazi ya mjengo sio mchezo
l wanted sana to be independent nitoke tu ocha lakini reality ya life ilini-nyorosha…,halafu home kwetu ni kule wasee husema masomo huishia form 4o_O…
na vile tommy lee alikuwa na ambition kibao…at first wanted to be a DJ…lakini academy zote zilikuwa zinalipisha 20k:mad:…l have always wanted to be in entertainment
sasa apo ikabidii kutafuta hustle ingine…
nikapataa jamaa anaitwa monya …alikuwa amebuy VCD ya kwanza hood mzima alikuwa anataka CD za Movie(Iyo ni ile time movie moja ilikuwa na partA B and C)…nikamshow naweza mtafutiya na 500 movie poa…monya gave me 500ksh na nikaenda kutafuta Movie…iyo time MP3 ilikuwa inatoka 300ksh in nai mtaa kama yetu ni mia tano…
when to source in nai…nikatembea Luthuli yote hadi nikapataa jamaa akaniuzia na 300ksh vcd moja(part A and B) halafu akaniambia kuna za watu wazima na mia nne:D
apo ndio tommy was hooked to ngwati bizness:D…(nika bargain hadi nikabeba zote na punch)
nikamshow iyo ya watu wazima unaweza ni testiya akanishow wacha ufala izi sio za mchana…
so nikachukuwa izo cd mbili…na nika-mark iyo shop juu ya next time…
kufika base nikaenda kwa monya…nikampatiya movie yake part A and B…NGWATI nikabaki nayo:)
the next day monya was so happy akanishow anatakaa ingine kama naweza mchukuliya…nikamshow juu ya transport anipe 600ksh:D monya hakuwa na shida na pesa…
halafu nikamuliza unaweza taka za watu wazima pia…izo nauziwa 800ksh:rolleyes: monya got exited nikapewa chapa…uyo mimi hadi kwa ule msee wa ngwati nikachukuwa vcd moja ya 300ksh na izo chapa zingine nikaweka kwa mfuko…nikapelekea monya cd mbili ya ngwati na iyo ingine…apo nikamake profit ya 1000ksh minus transport in just a day:D nika amua hii ndio itakuwa hustle yangu…mjengo never again
l credit monya juu kama sio yeye sigekuwa tommy ule wa ngwati…
and as you know porn the more you watch the more you want to watch more…l was there to supply:D hadi nikabuy my first VCD pia mimi:cool:…
niliendelea ivo hadi nikafungua shop ya cd …Mugentho ya kwetu…l realized animation and porn were the most requested…nikapataa watu wanataka animal mating cds…mimi kama business man siku-uliza maswali naenda na source nawaletea…after a year nika manage kubuy cpu and learn to do mass production…one cd na dupicate over 100 copies halafu nashukisha price…got more clients and more money:) by the time l was 20 yrs old nilikuwa na stall tom mboya…na nili-ingia na 100k hakuna loan hakuna support from family all from porn business:D…
l got my first keja in kiambu na rent ilikuwa inalipwa na ngwati…
now l manage 3 entertainment shops in nai CBD and 1 in mombasa…l still sell Ngwati but now in DVD’s and in hard-disk…and l no longer buy blank cd’s locally (empty cds ndio pesa yetu ilikuwa inapotelea uko)
this movie guys you see unawadharau juu wanauza movie 50/40 bob…
usistuke per day sales hupiga 50k to 70k …iyo ni salo ya mtu per month
:Dyour truly TLS