When koffi had fune ghels

Cheki kiuno msee.

https://www.youtube.com/watch?v=X0ufX0HCBZw

Huyo wa blonde hair siku hizi ni pastor.

Hehee, dunia inaisha:D:D

booty fixation Ilinianzia na hawa but first it was Dr Sakis’ dancers kwa wale wanamkumbuka

Micko

Just Google Prophetess Rosette Kamono…of course the mighty wall has done it’s part.

Maajabu. Tulinyonga sana na vidz zake hizo enzi. Koffi alimwaga ndani lakini

[ATTACH=full]376007[/ATTACH]

Bwana asifiwe

[SIZE=5]fifi miss yolo maman ministre[/SIZE]

Safi

Saw them at a diplomatic mission signing autographs…hizo matanye sio mchezo…sexy lasses. I got an autographed ‘loi’ album…i still have it.

:D:D:D:D:D:D:D

The more the reason why young turks should never get wives from churches. Hapa mtaani South C najua kunguru wengi sana wenye wameingia makanisani. Kwanza unapata dem anatoka South C kwenda church Langata, Ngong road ama Thika road unajua huyu ameenda kutega boychild mwenye hajui background iko aje. Sad!