where are most car yards in mombasa located?

can anyone point me to a location above? I am in this town and thought I should look around… ama kama uko na contact anaeza nizungusha hizo yards drop me namba yake inbox

Unalipa ngapi kuzungushwa nikuitie mtu

Mombatha, alafu uitiwe mtu, chunga kijana, utalimwa msendez.

Ni car yards unatafuta ama ni gari unatafuta? kama wewe ni mgeni you need someone(A LOCAL) or u ll just go round in circles…for a fee ofcourse…

ingia moi avenue, njia ya docks ile iko na pembe mbili, io njia yote ni yard za magari lakini chunga sana salesmen watakukula over 100k na hautajuw kama umekulwa.

Boss kwani ulithulumiwa?