Nakumbuka miaka ago when I was doing my KCSE mjamaa alikuja akanishow “kah tony, umekuwa ukisomea hii exam gwan lakini ebu sikia ntapata grade better kukushinda,” didn’t know till later that guys had leakage ile ya Wasanga. I was a good student, still am. Mimi ndio wale hushow watoi, “Do you know I used to be #1 in class?”
Anyways, results zilitoka na bado hakuniona and I was like kwani hii ni jinga ya wapi hata na leakage bado inaona giza.
Time ingine, just when I was joining Uni nakumbuka meeting some family friends kwa supermarket. Hiyo family ilikuwa ile ya compe and comparison, they had a son my age. So huyo mthama after kumshow ile course nilikuwa nataka kufanya alikuwa anasema vile ni ngumu ningejaribu ile rahisi kushinda hiyo…meffi sana. Saa hii hiyo ndio field inanipatia unga. If she could see me now.
Some times I wonder where such meffis are in life at a time like now. Wale watu kazi yako ni kukuweka down. Just remember, you are your own motivation. Hata book ya Ben Carson haiezi saidia.