Where does the money go to.....

#1
I understand kutuma sms ndio upate results za KCPE ina kua above the normal standard charges swali langu ni hio pesa wana charge watu on top ina enda kwa mfuko ya nani?

Mkinijibu hio mnishow ile 1k HELB wana charge because hauna deni yao ina endanga wapi.....

Ongezea na ile ya certificate of good conduct
 

Top