Who is the most annoying ktalker

Status
Not open for further replies.

DI TICHA

Village Elder
#5
Wacha ntakushow tu sahi.......Kunaye hunibore sana.......yeye ni good example ya wale wasee wazazi wao waliuza ngombe ku-educate Mbuzi..............
 

DI TICHA

Village Elder
#6
Hii Jina NUGU hukubambaaaaaa..........Huwezi fikiria mnyama mwingine hivi???? ama tuli-evolve kutoka kwa nugu tukakuwacha nyuma bado ukiwa Homo-pithecus coz hao ndo wanakaa nugu........Kuna Wanyama wengine mbali mbali kama kuku, ngombe , Simba, na kadhalika....Jaribu kuangalia kwa net different types of animals.....Ni advise tu
 
Status
Not open for further replies.
Top