Me, Zuku @ 4,500 every three months. (1,500 per month)
Safaricom Unlimited LTE at 5,800 per month
tuseme wewe ni student. lakini wewe ni virgin?
Cable One…$ 69 p/m
[SIZE=1]Hata nikiandika jina huweziukaisoma herufi[/SIZE] $ 95 NdoRa plus simu tatu
After shitty 3years with Telkom …sahii naenjoy 4g for home ya 3700/ from sufferingcon na inanitosha Kwa sasa…
Airtel, 3GB per day at KES2,000
Safcom fibre to home .
20Mbps at 4100 wadau.
Can’t complain.
Sijui hata… apartment ndo wanajua. But ni 20mbps for 1k. Monthly
Student package. Mbaba achia wana chuo waenjoy package yao banae.
Chukua hata ya @3000 ya wababa
Wacha nifuate hii thread…whats the best alternative for place without safcom home fibre?
hebu leta contacts za hawa watu niongee nao
Paul Zuku - 0736914216
Iko poa sana. I use it in a remote village where fibre will not reach even in 2030!
Liquid Telecom
unatoa wapi unlimited lte?
ama iko na limit na huna habari?
It has no limit. Boss, I know the difference between unlimited and FUP! It is 100% unlimited.
Bro, how do you get connected?
ile mimi najua ni 400gb p.m.
Packages zake Ni zipi