Why Captain Obvious Ain't Keen On Having Daughters

#1
Hebu tafakari.

Ile siku alizaliwa ulikimbia social media kupost picha zake, hatukuwa tunapumua. Unajigamba pale ati "my princess, mum" sijui "I will love you forever", as if wewe ndio wa kwanza kupata mtoto. Yaani kila event unatupa updates.

Ka-mummy kakianza kumea meno...update
Birthday zake...updates
Kakiingia kindergarten...update.
Kaki-clear fourth...update
Yaani social media accounts zetu hazitulii ati juu uko na katoto kachichana

Alafu siku moja unakuwa tagged kwa video kama hii. Unafinya macho ndio uone vizuri. Unavaa miwani, unatoa miwani, unakaribia screen. At last inabidi tu ukubali "kamummy, kaprincess" kako kamekuwa maliar, ama "video vixen"kwa lugha ya heshima.

Unaona pale kijana anakaa chokosh aki-grind kwa mattercore za ka-mum bila huruma. Hata huhitaji kuambiwa ka-princess kako kamedinywa na hiyo crew yote ya machokosh.

So sad bana.

 

Purple

Moderator
Staff member
#10
No, girls are good. Infact nowadays I’m seeing a trend whereby they help their parents more than boychild.

As long as you bring up your kids in the “fear and admonition of the Lord” watakuwa sawa. No matter if they wander deep into the worldly things, in corruption dens and whore houses, they will always remember their sweet mama singing about Jesus and daddy talking about God.

Dedicate them to God early and often.
 
Top