why do classmates or schoolmate feel like you owe them

kwanza mukipatana na mtu mulisoma nayeye kwa club,the guy will keep calling you…classmate …classmate lazima leo nikunywe yako moja…

sometime unapatana na nyangau ilikuwa class 8 wewe ukiwa class 3 ikikuona inakuitaa classmate …

this is common is muchathaa settings… .

halafu kuna wale classmate munapatana nao, sasa kazi yake ni kusema acheivments zile amefanya,wewe umetulia tu ana kuonyesha tu mapicha za cubical anajenga, sina shida na iyo… lakini tusalimiane hii maisha sio compe za high school…

angusha heka vile kwanza hii dec ukienda home ma classmate wamekuchill uwalewea
shee

uzuri ya kwetu muratina mtungi moja 1800 pekee hawamalizi

happens in all rural areas. nikienda home navunja kama ngiri tatu into two hundreds, hundreds and fifties na kuweka pocket tofauti kama mtu anataka kuwa MCA…wale wana alcohol fumes kwa breath saa tano asubuhi ni wa finje.

Endelea hivyo hautajua ukiingia siasa uapishwe

:D:D:D:D:D

ukiwachia moja anasambaza kwa wengine kuwa umekuja ndio rende inatokea yote…

do ladies suffer this too?

Alar! I thought ni kwetu pekee ndio kuna hii mambo. :D:D

I usually love to meet with them and reminisce the good old days.
ooooh, the nicknames, the primo teachers, the punishments, the ngaos, the escapades.
And when they are high they have hilarious stories that make you laugh the whole night.
Hio siku ikiisha mimi huskia vibaya sana.

hao ndio wa soo mbili though si wengi. kwanza kwa mazishi wanajua ku-waylay sana.

Pale kwetu mi hukataa kupeana doo, naambia raia tuingie kwa kituo ya chang’aa, wanapiga 30 na kusonga. Ubaya wanaanza kutangaza ati lorry ya breweries imeanguka in the neighborhood, na hapo ndio walevi wote hutokea.

Then it seems I had sensible classmates or because I came from an urban area.

Advantage ya kutoka from an urban setting. Ingawa there is a bunch of hood champions mtu since ukuwe mtoto hakuwai kusalmia but ukirudi the first will be a formalgreeting. The second time you meet ni kukuomba pesa yet hata hamjuani.

NAtaka hiyo muratina jan

Hivi ndo tunaanza sentesi?? Ok

Sasa mimi nilipatana na nyangau ingine pia… The guy I couldn’t even remember his name but I guess he had a crush on me…and because I couldn’t remember even his name he took advantage saying that I reciprocated feelings…I was in class 5!! Tf!! Na juu stakangi ujinga I smashed some raw eggs on his face… Till date he doesn’t speak to me… Senge yeye!!

Kuna wengine ilibidi niwambie sikujagi the mtaa of my birth, juu yao, wapeleke hizo bakuli zao mbali.

You are proud of your stupidity? This is violence, na ungenyoroshwa ungeanza stories mingi

Who’s gaging my stupidity?? You?? :D:D:D

At least you don’t disagree that what you did was stupid.

Nah. If I remember correctly you are antisocial with extreme social anxiety disorder. They just don’t want to pressure you.
Are y’all gonna ignore the fact that @old monk has been MIA for the past like one year. Where have you been? Leta hekaya.

This is very bad, you are enabling drunkards and idlers mimi afadhali watu wanichukie but I can’t entertain that

actually i don’t see it that way. rather i see it as an investment in the community. a way of keeping in touch. you see i left the village after college and getting a job, went on to buy a plot in town and established my home. i only go home (only my eldest brother and his family live there) three to four times a year and when there are funerals of neighbours and weddings of close family friends. but i do what any community member is required to do as i am an active member of the community welfare association. the reason i do that is because i’ll be buried there next to mama’s grave.
i do not want to be one of those town dwellers villagers say drive around the village with windows up. these people get into social embarassments. just recently an agemate lost is wife and he had to pay gravediggers - something unheard of and very embarassing - because the local young men could not do it as he does not socialize. on the burial day kaburi ilikataa kujaa mchanga because the locals attended the funeral and ate the food provided by a commercial caterer but did not participate in filling the grave because my friend keeps aloof…arrangements had to be made quickly to hire more young men to complete the job!