why had i not thought of such an easy money making idea?

na vile nimewekea watu wengi whatsapp na wengine kuwa fungulia Gmail acct especially utu tufala tumepata smart phone juzi. alafu funny thing is mtu akipoteza phone ananunua ingine…na ni android…unamuuliza gmail at…alishasahau? the whole process starts again. enyewe this guyhapa chini is recking good money…Well played Njuguna wa River roadi …Well played. Imagine hii shop inaeza kuwa inapata 20 pple per day who want whatsapp installed. 20x300 = 6k x 6 days( Mon to sato) =36K x 4wks = 144K…wololo
[ATTACH=full]8541[/ATTACH]

Imagine in this and age kuna watu hawajui kuweka apps kwa phone zao. kuna dem fulani after getting an s6 frm sijui sugar D wake akanipatia nimwekee whatsapp and other apps like candy crush, FB etc…up to date simu ni ile ile no added apps at all.

Hehe, it had to be múdú wa nyúba

The interesting thing is that wenye hawajui kuweka apps ndio utawapata na simu zingine kali sana, what a waste.

2 Likes

thats my mum. juzi i noticed she nolonger participates in the conversations of our family group. then akaniambia amenunua simu ingine sasa anataka kupelekea fundi aweke. luckily my bro travelled home akamuwekea

2 Likes

Aki Jay come uniwekee app ya KTalk.

4 Likes

:D:D:D:D:D:D

Kwetu songs huuzwa 5bob per song. Vlc ni soo hata akina mozilla huuzwa. Ngwati sasa ndio expe kuruka

3 Likes

Hii kizungu ni ya Korogocho hivi hivi.

@Electronics4u could you please summarize for me, nitakutumia kasoda.

1 Like

I know people who pay 10k to get software installed on their laptops. Word, Excel, Adobe…

Summary: jirani hana kakitu ya kujinice hii weekend.
Mrushie hio soda instead.

2 Likes

kama mimi…

Nishawai ona msichana mrembo inside a mobile shop. she had two phones on her hand…a Samsung S6 and Iphone 6… She wanted to buy new covers for her phones…wacha afungue mdomo waaaaa “Ls” were being promounced as “Rs” and vice versa…in short ni mtu ametoka ocha juzi na ameangukia mahali. mimi saizo najikaza na ka LG which i bought 2 and 1/2 yrs ago…hata sijui kama bado iko market

My friend alitumiwa G3 by his Siz in Hongkong and its an original but ilikua na boot animation ya kichina ivi nikambadilishia for 1500. and I had only purchased data ya 80bob:D:D

kuna mzee moja hapo nax kwa KRA office aliambiwa aende internet kuapply pin. broker flani hapo ikamdandia na kumshow ni 5k (till this day I think dude wa KRA was in the mix but siezi comfirm) mzee akambiwa afuate jamaa. manze I felt it l, mimi huyo nikawacha shughuli nikatoka teketeke since jamaa alikua mbele being a spring chicken ma mzee anafuata one stair at a time nikafikia mzee nikamshow mzee kuja nikusaidie hata ya cyber nitalipa. haki ya nani huyo jamaa angekua na bunde singekua na type hii story. took mzee cyber did everything it cost me 200 bob. I swear mzee alirudi pocket na kunitolea 2k “kijana yangu tugawane hii sababu ingeenda” I said no thanks, he insisted saying he is not paying me but buying his son lunch. he appeared offended if I refused. I took the cash and he asked for my number. days later he called me from shags huko Buret and even introduced me to his son who is a buddy

6 Likes

Mafala ni wengi.

The high price of ignorance and lack of exposure.

Last year nikiwa home for mu holidays niliona watoto wamemaliza form four wakisaidiwa kuapply for university cyber for 200each.na ilikuwa line mrefu… A friend who claimed amefanya computer high school pia lined hapo. Mimi nilimwambia wewe ni fala.

Haha. Hata wewe uliamua Jay ndio jina.

:D:D:D…kweli huyu ni Njugush…$3 a pop…my dad used to tell me “Mtu yeyote ambaye hajui vitu vinavyo potolewa hatakiwi hata kidogo kujua bei yake”(direct kikuyu translation for straight up business). This is a smart fellow laughing all the way to the bank.