• How to Protect Yourself & Others against COVID-19:-Clean your hands often, Avoid close contact, Cover your mouth and nose with a cloth face cover when around others, Cover coughs and sneezes, Clean and disinfect frequently touched surfaces daily & Stay at home!!!

Wife and vacation to coast

Micymas

Village Elder
My wife, was paid for a vacation to coast with kids (1yr and 13 yrs) by her siz (thats what she told me) for two nits. I stopped snooping into her phone like 5 yrs ago, and am not planning to resume.
They're leaving on coming Friday na SGR, Swali ni, inaeza kuwa ata si sistake alimulipia,ikue ni ndume? nakama ni ndume naze jua aje bila kuchungulia simu yake.
tafute mtu unajua coast awafuate chini ya maji, anyway, you already know the brats, who are NOT YOURS, wataenda watupwe water world.

alafu bibi ataenda anukishe tyre weekend mzima.
 
S

shida ni what if he discovers the worst?... form itakuwa gani?...

Vitu zingine mtu either anafaa kujiamini na kama hajiamini ajiondokee...

Marriage is a choice made in freedom. Between two free people. Sio eti ni jela...
 
upepo

Village Elder
Once women believe they know you, watafanya scheme zingine kali sana right in your face. Mimi niliambiwa vile kunguru inataka kwenda shags, alafu pia nikapatiwa budget ya zile vitu zinatakikana. Sanduku, presents za watu wa ushago na kila kitu. Hadi vitu zikaanza kununuliwa moja moja nikiona. Hakuna vile ninge-doubt. Siku hizo kuliwa na simu lakini sio smartphone. Yahoo messenger ndio ilikuwa kusema.
As you all know nilianza kazi ya CSI nikiwa class 4, time nilikuwa naokota letter kwa dustin ikiwa imeraruriwa pieces 1000 naunganisha nasoma. So, naturally, electronics zangu zote lazima ziwe bugged. Comp ya kunguru nilikuwa zimeweka keyloggers za kila aina na spy software mbali mbali.
Kumbe kunguru wamepanga raha sessions na octogenarian mwingine alikuwa akuje kutoka hizo sides za Norway. Nilitegea tu wapange kila kitu hadi bookings alafu nika-bomb hio set-up yote. Nilirushia octagenarian email nikamshow kuna Islamists wanamngoja wam- kidnap. Kidogo kidogo nikaona kunguru imepostpone safari alafu ikapata depression kiasi nikajua octogenarian amekunja mkia. Sijawai celebrate professionalism yangu hivo.
 
IsMundu

Did she ever know that you knew?
 
Micymas

Village Elder
S

shida ni what if he discovers the worst?... form itakuwa gani?...

Vitu zingine mtu either anafaa kujiamini na kama hajiamini ajiondokee...

Marriage is a choice made in freedom. Between two free people. Sio eti ni jela...
it's called closure, very important for psycholgical stability
 
Last edited:
T
Btw mimi sioni madharau yoyote hapo especially because the sister is coming from majuu.
Unataka mwanamume mzima afuatane na wanawake nyuma ati amelipiwa holiday? Hata chakula atakuwa anakula na aibu because hajui kama akikula sana ataambiwa ajilipie
The sis should have invited him, and he should have declined, that s proper form!
That way everyone knows what the itinerary is.
 
Top