Wildbeest amekataa kuingia kenya

Is either wamekasirika na the level of plunder ama wanaogopa lifestyle audit [ATTACH=full]178192[/ATTACH]

mkule ujeuri wenyu… even animals don’t trust you.

Hawajapata allocation yao ya pesa wamegoma

Naskia Magufuli amezama na keys za gate. Huyo jamaa ni mtiaji sana…

zinaogopa ngirita na gathecha.

Hehehe, comments are hilarious

Lakini Ngiritas wako na ujeuri sana, if its not showing us tatoos, it’s about samosas, and now ati they are broke and can’t post bond. I guess it has to come to a point where we the masses get livid and deal with these corrupt matapakas ourselves. How about akina @wonderful wonder start by razing the ngiritas properties in naivasha to the ground. Sisi watu wa Gatundu we deal with Gatheca etc. And while at it, arrest and humiliate those akina @pamba collecting 50/= on the roads.

Maji/nyasi iko na copper na mercury

How many birrions are our leaders going to allocate to the Wildbeest convincing committee? Wildbeest know we need them for tourism dollars.

Ama hao wlidbeest walikataa na tax ya KRA’s field agent Crocodilez wakivuka river akaawaambia hii mwaka wakule ujeuri yao…you never know.

Whats happening

ati wameogopa lifestyle audit

maybe their fare has been frozen in their bank accounts

I love u Kenyans for your snipe

Cheza chini Mzee…tunataka ona ka tutanyakua their 60m plot yenye iko next na central primary…siwezi mind

Vipi Saint?

Meria:D:D:D:D:D:D:D:Dmaaa wii mushogothi muno muno. Ushio niokite kungeithia ithanduku…now priss wihe mihang’o ingi.

Onawe 123 wii mushogothi muno! :D:Dndi na ‘busyness’ ithanduku ‘ngiamukira’ ageni. Kwoguo mutigathumbore! Wihe mihang’o ingi. Ninjui tigutheka muratheka. Niguthekerera. I happen to know the difference.

wir können nicht lachen, wenn unsere Widebeast fehlen,

Wanakamilisha utaratibu wa uhamiaji.

Niemand möchte in der Minute nach Jamu kommen. Ich beschuldige sie nicht.