@Wildfrank, Makanika mrefi na wavurutaji wote

[MEDIA=facebook]224865787558662/posts/2314789155232971[/MEDIA]

Bangi iwe huru.
Cc: @gashwin

ata mwalimu mi muraibu?

Also suffering increases sperm count. Ushajua kuwa ukistress fruit tree kwa kuinyima maji au kukatakata gamba (bark) huwa inazaa matunda zaidi. Hushawahi jiuliza kwa nini maskini huzaana hivo? So labda hiyo inatwambia kuwa bhang smokers ni masafara?

Kunyua fangi ni wana