Saidieni mtoto wangu wa Grade 4
Will - Ta.
forexaamp: I will do it. Nitafanya.
you’re welcome
Wasia/wosia
Kauli inayotolewa na mtu wakati yu hai
Mijinga
Will as in Tob Cohen’s Will .
Kwani umefuruta ikiwa na mbegu
William
Thanks alot.
lugha ya kiswahili kweli inawapiga wanakijiji wengi hapa makanzu nama chobo :D:D
Ngai fafa! Na umetoa hadi jinsi inayotumika. Wewe na mbinguni ni kama maji na umeme. Hampatani kamwe.
Willo
wasia
Wosia
Usimpe hili jibu la sisisi. Mfafanulie pia.
Ni vyema uelewe lugha ya Kiswahili inaambatana na tamaduni zake
Utako wa marehemu.
Elder, I have not known you to be slow.
Heheheeee…
Nikuibie siri, “I’ts with utmost sorry that you and @Nyamgondho demeanor are :”
[ATTACH=full]261360[/ATTACH]
Naona time yako Tz ilisaidia
Hata sahii niko tz…nimeuliza tu mlevi mwenzangu
I will not help a kunguru… :D:D
:D:D:D:D:D:D i was expecting this from you. night made!