William Ruto Memorable Quotes....

Deputy President William Ruto has been on a roll this past four years, when it comes to throwing barbs no politician comes close.

1[B].“Nilikuwa nadhani hawa jamaa wana import candidate, kumbe ni wale wangwana tu! Wembe ni ule ule”

2.“Sasa kuna ule jamaa wa Tokyo amepigwa na bibi, ata ukipigwa na bibi unaenda police station? Si unanyamaza unasema bora watu wengi wasijue”

3.“Tuombe sana na tuombe Kalonzo, imagine ule kalonzo alikuwa vice presten anakaa siku hizi kwa lamii”

4."Tuambiane ukweli, ata nyinyi mkiona ule mganga wa risasi moja atatushinda mimi na uhuru Kenyatta.

5.Refering to Raila " sasa ule jamaa wa vitendawili na sijui mpira hapa,sijui mpira wapi? anasema anataka tufanye elections next year, sisi hatuna haja na mahali ballot paper itatoka, ata kama ako na kampuni ya ku print ballot papers apatiwe

6.(In kalenjin) "sasa nyinyi watu wa Bomet mliona wapi mkachagua governor kama huyu? mtu mwenye ata akipewa mbuzi mbili atashindwa kuchunga.

7."ati mkutano takwisha! Mkutano ya nani takwisha? Bekuu tuyet ab ingiro? Wacha kutishatisha sisi nanii ati mkutano takwisha, nikiwa Bomet niko nyumbani my fren.

8.(in kalenjin) " kuna wengine wamejikusanya kusanya hapa sijui Isaac hapa , kutuny pale na Gideon pale, wananichimbia kaburi, my fren saa zile unachimba ujipime nayo pia kwa sababu haujui inaweza kuwa ya nani.

9.When heckled in the campaign trail " sasa kama mumesema hamtaki Willam Ruto si mpigie Uhuru Kenyatta kura basi.

10.Sasa Jirongo ananichukia kwa nini? anashanga ule William Ruto alikuwa mtu yangu ya mkono alipitia wapi hapa katikati, ni kujipanga my fren. hii siasa peleka namna ii namna ii hapana kimbisha sana.

11.Sasa ile mtu ya mkutano takwisha ameanza kiti ingine inaitwa chama cha mashakani ama sijui mashimoni, atatoboa kweli?

12."Karibu nikubali hawa watu wanaenda canaan, lakini niliposikia iko busaa na chang’aa nikajua ptooo hii ni canaan fake.

13.Sasa iko ingine multi coloured fruit anaitwa kalonzo anaiba pesa ya watu na N.G.O alafu anasema ni William Ruto

14.When Raila attacked him on Weston land. ( in kalenjin) sasa kuna mwingine anasema nimeiba shamba ,kwani alitoa shamba kisumu? Shindwe kabisa

15.Sasa kuna mwingine hii Bomet anasema tuwachane na university na tujenge mahali ya kuweka takataka, kichwa yake ni musuri kweli?
[/B]

Kwa hii video alichapa three musketeers uppercut, sweep na kuwakojolea mdomo, Kaimenyi ako hapo nyuma anataruka kuraruka.

https://www.youtube.com/watch?v=5WylEbz6mV0

17 Likes

Mahali iko kibao cha hakuna kazi itakuwa na kibao inasema iko kazi…

:D:D:D:D:D

Keep calm and come to HB macha!!

Wueh !!..moto kama pasi !

No 9. The best of his quotes. Cheeky,on point and witty.

2 Likes

No 9 ilikuwa moto at I kama mnachukia kale kamtu

This one was brutal.
:smiley:

2 Likes

If Rutto Katumbo ever meets WSR at the edge of the Great Rift Valley in falling darkness, . . .

5 Likes

Hizi sweep za uyu jamaa ziko sawa waiting for his sweep on ‘kimeibiwo’ i know its gonna be on point

1 Like

Hehehe. 2022 itakua legendary.

2 Likes

:D:D:Dim not a jubilee person but this guy is something else kama si yeye uhuru angekuwa anameza mate

3 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

1 Like

Number seven I was present. Huku jamaa hunimaliza.

1 Like

“Sasa iko ingine multicoloured fruit anaitwa kalonzoanaiba pesa ya watu na N.G.O alafu anasema ni William Ruto”.

Ati multi coloured fruit. I can’t :D:D:D

3 Likes

@Okwonkwo ebu njoo…

1 Like

:D:D:D:D:D:D

1 Like

Number 8 ni prophecy

[ATTACH=full]119321[/ATTACH]

6 Likes
  1. The opposition is disorganised, clueless, planless
  2. From next year secondary school education is free so Joho arudi amalize masomo
9 Likes