Windows 10 installation

Dorantes

Village Elder
#1
Kuna desktop hapa ya dell inajiita outplex 960 imenikosesha yesu kabisa wadau. Flash nimeiturn to bootable na rufus ju ilikata GPT nikaeka MPR sasa inaniletea "syslinux 4.07.... could not find kernel image chain.c32" nashindwa linux inaingiliana wapi na windows. Any solution? Nataka kuformat machine yenyewe ju iko na kirusi kwanza ile ya shortcuts na complications mingi pia haikubali kuinstall softwares kadhaa already inaoperate na windows 10 ent
 
Darkberry

Village Elder
#3

download latest version ya rufus and make sure image yako ya windows 10 is not corrupt
 
uhondo

Village Elder
#11
Umejaribu lakini hio ni workaround. Yaani ni kitu ya kutumia as you research more and try to solve the cause of the original problem. Because trust me, if you don't, you will encounter it in some other shape or form further down the road.
 
Dorantes

Village Elder
#13

For now ni hivo staki kuumwa na kichwa tena lakini hio ya idea ya @slevyn ya kutumia disk inakaa ineza work
 
uhondo

Village Elder
#14

Na si bado umetumia flash kuinstall katika hio machine ingine? Which only rules out the flash and hdd as the cause of the problem.

Mtu ni vizuri aanze na the least invasive solution; kama hii, anza na kucheck bios settings, reset them to default, isikuwe kuna setting ina conflict; is it efi capable?, umetry ku-set compatibility mode etc., depending on outcome, try burn gpt then mbr, whichever is supported. Check and set correct sata mode ahci or compatibility. You can even flash bios to a more recent one, etc kikamilifu.

Juu vile naona, hii shida unaweza kuja kupatana nayo in one form or the other huko mbele.

Kama ni wewe unatumia ni sawa lakini kama ni ya mteja pambana na hio shida hadi utatue kikamilifu.
 
Last edited:

Dorantes

Village Elder
#18
Kama ni wewe unatumia ni sawa lakini kama ni ya mteja pambana na hio shida hadi utatue kikamilifu.
yeah niliinstall na flash. Ni ya beshte yangu nikama iko na kashida special ju hata kupartion ilikataa ilikua inadai "chskdisk" lakini once niliformat to windows 10 niamwekea softwares zenye alikua anataka nataka nini ingine
 
Top