Windows 10 installation

Kuna desktop hapa ya dell inajiita outplex 960 imenikosesha yesu kabisa wadau. Flash nimeiturn to bootable na rufus ju ilikata GPT nikaeka MPR sasa inaniletea “syslinux 4.07… could not find kernel image chain.c32” nashindwa linux inaingiliana wapi na windows. Any solution? Nataka kuformat machine yenyewe ju iko na kirusi kwanza ile ya shortcuts na complications mingi pia haikubali kuinstall softwares kadhaa already inaoperate na windows 10 ent

Have really confirmed what the image you have mounted on your flash-drive, Please recheck

download latest version ya rufus and make sure image yako ya windows 10 is not corrupt

Pia inua position ya hiyo usb kwa boot order ikuje first position

Hiyo machine haiwezi support Windows 10. Try Windows 7 32 bit.

Outplex ni fake banae. Original ni Optiplex

Jaribu windows 7

Ilifanya kazi nilitoa hard disk yake nikaeka kwa machine ingine na ikainstall vizuri sana

Fake kiaje bro sjai ona dell ama machine yoyote ambayo ni copy

Basi ni optiplex

Umejaribu lakini hio ni workaround. Yaani ni kitu ya kutumia as you research more and try to solve the cause of the original problem. Because trust me, if you don’t, you will encounter it in some other shape or form further down the road.

Tumia bootable disk… flash drives have issues

For now ni hivo staki kuumwa na kichwa tena lakini hio ya idea ya @slevyn ya kutumia disk inakaa ineza work

Na si bado umetumia flash kuinstall katika hio machine ingine? Which only rules out the flash and hdd as the cause of the problem.

Mtu ni vizuri aanze na the least invasive solution; kama hii, anza na kucheck bios settings, reset them to default, isikuwe kuna setting ina conflict; is it efi capable?, umetry ku-set compatibility mode etc., depending on outcome, try burn gpt then mbr, whichever is supported. Check and set correct sata mode ahci or compatibility. You can even flash bios to a more recent one, etc kikamilifu.

Juu vile naona, hii shida unaweza kuja kupatana nayo in one form or the other huko mbele.

Kama ni wewe unatumia ni sawa lakini kama ni ya mteja pambana na hio shida hadi utatue kikamilifu.

Update the bios

Weka windows 7, update bios then upgrade to Windows 10

Io machine ni ya kitambo kabla ata @Finest wine akuwe malaya… Haiwezi chukua Win10… Weka yeye 8.1 ama 7

yeah niliinstall na flash. Ni ya beshte yangu nikama iko na kashida special ju hata kupartion ilikataa ilikua inadai “chskdisk” lakini once niliformat to windows 10 niamwekea softwares zenye alikua anataka nataka nini ingine

Is the bios set to Legacy or UEFI? If it’s an old computer set to legacy.

Sometimes you forget the easiest way to install windows. Iweke kwa desktop and just run it.