Kuna desktop hapa ya dell inajiita outplex 960 imenikosesha yesu kabisa wadau. Flash nimeiturn to bootable na rufus ju ilikata GPT nikaeka MPR sasa inaniletea "syslinux 4.07.... could not find kernel image chain.c32" nashindwa linux inaingiliana wapi na windows. Any solution?
Attachments
-
2.8 MB Views: 0