Guys, what are the logistic requirements for opening a wines and spirits Pale mashinani…
Kila siku 1k ya D-minus.
:D:D:D:Dthread closed
Yaani ata haijaanza na mnataka za macho? Enyewe mlilaaniwa. Senji!!
Uliwacha parklands ngiri ngapi?
Tafta izo thread hapa
Nkt my frien maneno ya parkland wacha…
Leta hekaya.
Khupipi alimuweka cell baada ya two hot slaps.
Hehehe…
Huyo okuyu ocs hananga rafiki ikifika kwa pesa a friend of mine destroyed his wife car khupipi akamuweka ndani, khupipi demanded 200k jama had to part with 170 k
Sio hamsini :D:D:D:rolleyes:
imagine bana, Hawa watu walilaaniwa
:D:D:D:D…wah
Si kwa ubaya lakini mbona hizi pesa hazisaidiangi D-. Nyinyi hupata pesa mingi sana but most of you live worse than dogs.
Haisaidii, i know of a number of them but nothing appealing at all
Squad ni mingi.
Zimenijengea nyumba Omwami na kuna talkers hapa wanajua kwangu na sio kanyumba , next question?
boss 50bob yenye umenyang’anya peasant ukajenga nyumba is not worth flaunting here. Infact that’s a community project