winter is nigh, game of shame

Have watched Game of Thrones?


  • Total voters
    42

Koolibah

Village Sponsor
#1
Nimeona kwa thread ingine hapo ati kuna wale hawajui GoT ni nini. Ikiwa hata Hombama huwatch, wewe utakosa aje. Tujitambulishe hapo juu tafasari. Bonyeza dude
 

Aizoh

Senior Villager
#2
aih!! mmetuchosha sasa. seems like if youve missed the series you'll head straight to hell for committing a cardinal sin. hii winter is cuming itafika kenya when juu hii solar imezidi
 
Top