Wise words from a Kenyan Somali sage

sani

Village Sponsor
#8
Ongeeni vile mnataka, sawa, lakini ivi karibuni tutajua kama Peter Kagwanja atawasaidia kupata izo oil block mnasema ni zenu, ama mtashindwa na Somalia mkuwe wa kuchekelewa East Africa mzima.
 

Top