Wish me luck Talkers... Tutachekiana Baadaye!

Jana i got this contract (tender) ya kupeleka bidhaa kadhaa from Manchester mpaka Casablanca.(Morocco) and back again.
I am leaving tonight and wont be back for at least a week kwa hivyo i hope you my virtual family will wish me luck and nitawafikiria sana juu my contract stipulates ati siwezi kuwa on any form of social media juu ya insurance clauses na value ya burungo nitakuwa nimebeba. I will miss you all for the next week and see you next week. Dont ask for mbisha. I cant take any hawa watu they are on your case on all forms of media juu saa zingine nimebeba consignment za ÂŁ1M and they dont compromise on security.

This is hopefully my journey plan but they dictate it so inaweza change at a moment`s notice ni kitu 2500 Km by road (ferry included).

[ATTACH=full]6720[/ATTACH]

Niko na wasiwasi kiasi juu i have never done outside continent journey before the furthest i ever did was Turkey so this should be very interesting.
The thoughts of all that could go wrong bring this old song to mind but Faq it! Get rich or die trying…

https://www.youtube.com/watch?v=Drl-GslEqSg

ONYO KALI;

Sitaki kuskia ati akina @uncle nyam na hizo fisi zingine zilikuwa zinanyemelea bibi yangu @Nananimpa .

6 Likes

safe journey bro, tuonane ukirudi

1 Like

What kind of truck are you driving?

Thanks bro.

Mercedes Actros kama hii hapa
[ATTACH=full]6726[/ATTACH]

4 Likes

Ohh i am going to miss you!! Nitayachunga mapenzi yetu wen ur away na sitakubali fisi ata mmoja anikaribie!! May the Lord guide n protect you during the journey dear.

Si kazi zingine ni mzito jameni, hii ndio kukula jasho yako literally

Aaaaaahhhh… How sweet of you? I miss you already honeypie. So long!!!
P.S. Dont do anything that i will do ; (sorry).., that i wouldnt do!

Been following your stories virtually :wink: . make many stories in yo journey and keep safe

1 Like

Not if you love to drive ! Kazi is getting paid to do shit you don`t want to do!

2 Likes

what if on return trip ubebe ma illegal immigrant kadhaa. #justhinkingaloud

1 Like

kwani hiyo garbage ni radioactive mnakuja kutupa Africa?

2 Likes

safari njema buda, hapo unajengwa doh ngapi?

1 Like

That’s megatron?..:eek: you are driving megatron?..:eek::eek: Across Europe and into Africa??..:eek::eek::eek:

Safe Journey bro hehe

1 Like

Thats the kind of thing that scares me shitless juu i am personally responsible and accountable for such.Worst case scenario unafungwa jela but Shindwe pepo mbaya!

Nina homa @kabuda lakini naeza kuwa turn boy, nikungoje wapi?

3 Likes

sio wengi wanaweza kuja kufanya kazi ya garbage na kukamuliwo na waweru

1 Like

Nyani ni nyani tu!
Nitakamua sampuli zote mpaka buibui raundi hii. Ngoja nirudi nitakusimulia hadithi ushangae.

Mimi nataka tu Pesa itufikie mashinani… Period!
Wish you journey mercies…Remember, you either get busy living or get busy dying!

2 Likes

sio buibui,sema tu kanzu

2 Likes