Witch from afghanistaniiii.

#1
Jana mazee nilipotea Njia!
Hadi Ucku Ukaingia nikaamua Kulala juu ya mti!
Kumbe ule mti Wachawi Huwa Wanakutana pale chini ya mti,
Nikashitukia Wameanza Kuja!
Walipofika Wakaanza Kujitambulisha Mmoja Baada Ya Mwingine!
Wakwanza ''mimi mchawi kutoka Sumbawanga''
''Mimi mchawi kutoka KITUI''
''mimi kutoka Naijeria''
''mimi kutoka Kongo''
Jamaa nikawa nawasikiliza Akatokea Mmoja,
''mimi mchawi kutoka Afughanistani''
Mara uoga ukanijia nikaanza Kutetemeka nikateleza na kuanguka katikati yao,
Na mimi nikajitambulisha ''mimi Mchawi kutoka Mbinguni'
'wachawi wote wakakimbia.
Unachezea Mbingun wewe???
 

Top