Wizi wa kimabavu

Majamaa mimi niko hali mahututi… Hekaya iko hapa

Sasa mimi jana nikaitiwa deal tamu sana pale tao nikaenda… Niliitiwa na an old business paetner of mine… Deal iliingiza 100k hapo hapo…

Then, there is another investment tulikuwa tumechora na rafiki yangu fulani, na ilikuwa inataka 400k… 200k from each… Sasa mimi nikajua hio lazima iivane na hii pesa ndio natumia… Nikapitia ATM nikachomoa 40k, alafu 70k ilikuwa MPesa nikachomoa pia… Sasa nikakuwa na 200k, plus 10k ya kushukuru mwili… Nikachangamkia machupa kathaa kabla niende kwa rafiki yangu…

Machupa zikakuwa tamu nikaitisha kuitisha… Mimi nikalewa zaidi alafu sasa vile niliona masaa ya Gatheca inakaribia nikaamua kutoka… It was around 0740hrs… Tulisema jamaa akilewa sana hakuna kuendesha mambio mingi… I got a friend at Kahawa Wendani na kuna kaburungo alitaka nimdropie hapo nikipita… Kwa ivo nikaamua nistop hapo aniletee… Sikujua hapo ndio mashida zangu zingetokea… Si sasa nkapita service lane kutoka Githurai…

Mimi huyo, sikuwa na maharaka mingi mingi… Kufika pale kwa ile mto iko katikati ya Githurai na Wendani, landrover ikaniovertake na ikakuja mbele yangu ikablock njia… Mimi kusmama, nduthi mbili zikakuja zikasmama kando ya landrover zikablock njia yote vizuri… Jamaa zenye zilikuwa kwa nduthi zikakam… Mmoja akajitambulisha kama D- na akaanza kufungua mlango ya gari… Mimi nikamfungulia… Jamaa akaanza tufujo hapo alafu anaangalia ndani ya gari ni kama anaangalia kama kuna mtu mwingine kwa gari… Nikamwambia aondoe ujinga hapo kama hawana kitu ya maana… Mimi kwa akili yangu nilikuwa najiambia nashikwa juu ya masaa… It was already 2000hrs…

Mujamaa akaitana uko kwa land rover… Majamaa zikakuja like 5 of them… Ile vita nilitandikwa ilikuwa ingine world war… Mwisho kutandikwa ivo ilikuwa zile enzi nilikuwa mwizi nikipigwa mob… Majamaa zilitoa kwa gari zikanivamia zikaniangusha kwa barabara zikanitandika proper… Zilinipiga kama nyoka alafu sasa walle wa nduthi wakanipora na wakapora gari… Walibeba ile pesa yote, Infinix na Lumia Microsoft zangu, alafu pia wakabeba ile burungo nilikuwa nadropia rafiki yangu…

So I really wondered, majamaa wako na land rover na nduthi mbili ndio wafanye wizi za kijinga ivo??

Vile ata nilirudi kwa gari na nikafika Wendani sijui… Nikapata jamaa ameningojea hapo… Ilibidi sasa niingie uko Wendani kwake nitulie juu ata singeenda kwa ule jamaa wa investment ju pesa ishabebwa… Saai ndio narudi kwangu… Uso inakaa imekanyagwa na lori ju maboots nilipigwa… Alafu uchungu niko nayo wacha tu… Imenibidi nimeze mapain killers… Kichwa sasa ndio inauma… Na makende pia inauma(Kuna jinga ilikuwa imenitarget boot ya makende ata ni bahati hakunipata vizuri… Angenipasua)… Saai ata nikiwekewa kuma hapa sitawezana nayo…

Am typing this from my HP Spectre… Bado naona kama ni movie niliona… Kident kiko kwa uso ndio kinanipea confirmation it was real

@johntez addi gaza mwizi kuja hapa useme mbona mnafanya wizi ya kijinga ivo… Unatoka Kayole mnaenda kuiba Githurai

Kwani wewe ni chokoraa ubebane na makaratasi? In this day of e-money umejitambulisha kuwa na akili ndogo sana.

Kuna pole kweli nyoka akichapwa?

Makosaa…usiwahi fungulia mtu hujui gari yako,hata D- usifungulie yeye!

It was needed in paper form

Vile walikuwa rough hawangevunja??

Msee usiwahi beba pesa in cash. Huko unawithdraw bado ndio wanakupeana.

Chunguza uyo jamaa wa investment. Anaeza kua ndo alikupeana

Weka camera kwa gari, atleast tungeona sura za hizo nugu. pamoja na plates zao.

:D:D:D

Inaweza kuwa yeye… People ought not be trusted… Lakini hakujua kwenye natoka ama means natumia kuenda kwake… Sasa sijui

Nani alikuwa anajua uko na pesa taslim??

Hakuna… Labda ule tu wa MPesa mwenye niliwithdraw kwake

Huyo ndiye #1 suspect.

True

[ATTACH=full]356743[/ATTACH]

Lakini si umeclaim ulikuwa mwizi kitambo? If that’s the case then bado wewe ni mwizi, ni vile tu sikuhizi unafanya “deals.” Wezi wakiibiana sioni shida.

:D:DWizi niliachia Addi Gaza Msafi… Siku izi nakula clean money… Deals safi

Enda kwa IPOA peleka hao majambazi mbio.

Msee, ugua pole.
Mi hubeba Hadi 300 design ile hugwes make. But hubeba kutoka bank nikienda kuitumia direct.

Lakini nililearn… Hakuna kuacha M16 chini ya kitanda tena… Sasa kama ningekuw nimeibeba hizo mambwa zingepata kila mtu mbili za matako… Kamagazine kake kanabeba risasi 16