Wolves inauwa nyoka

Hakuna huruma . hii team ya jamaa wa bahati ole Gunnar itaona T9 Leo . waliangukia Chelsea wakaona wamefika , Pogba Naye AME confirm anaenda Madrid to play with Real players not fools at Manchieth

Wolves 2

Manchieth united 1

Wacha tungojee nduru

I was waiting for this. Man U to will be hit hard.

nimefinyilia bet pesa ya nyama full kesho mnaleta feelings za kushindwa tena

Kabisaaa

Man U walale maghasia shetani nyekundu.

Haters go hate I don’t argue with fools who have never won champions league. [SIZE=1]sijataja team ya maumbwa.:D:D:p:p[/SIZE]

Tuko chonjo. Though I wonder why we still don’t have even a single shot on target. With 72% possession.

Hapa naona GG

Martial!!!

0-1

Hii jamaa ya kwft huwa swara sana…

Game bado wadau

Swara…

:D:D prediction ya @uwesmake itaingiana

Pogba meffi:D:D:D:D

Mefi kabisa.

:D:D tulia sqny

Kukaza sasa.

:D:D:D:D:D:D… Ni venye pogba kilipoteza penalty.

kwani kazi ya var ni nini. Dakika za mwisho Maguire amepeana assist halafu Linesman anaflag offside badala ya kuchill VAR. Replay showed he was onside na alikuwa in on goal.