women are strange

Status
Not open for further replies.

Davidee

Village Elder
#1
Yaani mwanamke hawezi kubali anakufeel..theres this lady who is behaving as if ananifeel hata macho zake zinaonyesha...but she just cant admit it...akipita hapo kwa ofisi lazima aniangalie...najua anataka DFHKM lakini nikimuuliza anasema "i dont feel anything" sasa huyu ntamsaidia aje.?
 
Ka-Buda

Village Elder
#6

Tutaendelea kuhimiza wanachama wa KTalk wathibitishe hadithi zao kwa mojawapo wa jinsi zifuatazo;
1. Picha
2.Video
3.Sketchi
4.Witnesi

Kinyume cha masharti na sheria hizi zilizoafikiwa na wanakamati,wakurugenzi na wanachama wote kutofuatwa kutaihadharisha hadithi yako na kuisababisha iwekwe pamoja na hadithi na hekaya za kaka sungura.
 
Mathaais

Village Chief
#9
I will spare you on this one cause your character is likeable and I don't please easily.Stop asking her the obvious in the office.Treat her, then go to a place that's conducive and the rest will be history.Some of us never even 'borrow', the chic is left wondering what the hell and how things moved so fast.
 
Mathaais

Village Chief
#11
Tutaendelea kuhimiza wanachama wa KTalk wathibitishe hadithi zao kwa mojawapo wa jinsi zifuatazo;
1. Picha
2.Video
3.Sketchi
4.Witnesi

Kinyume cha masharti na sheria hizi zilizoafikiwa na wanakamati,wakurugenzi na wanachama wote kutofuatwa kutaihadharisha hadithi yako na kuisababisha iwekwe pamoja na hadithi na hekaya za kaka sungura.
Look who's talking here, have you ever posted any pic of those women in your imaginary soap opera?
 
Status
Not open for further replies.

Top