Women!

LowRider

Village Elder
#5
JInga kwani huwezi beba colleague mukienda field . wacha na nywele mimi bibi alipata thong chini ya passenger seat , sijawai jua ni muhuni mgani aliwacha ngodha kwa gari akaenda nyumbani bila siruali , i mean ukiskia ile mharo slippery imwagike hapo CBD ? jinga kabisa .
mambo ya kuwacha suruali ndio sijawahi elewa. ear rings unaweza elewa. lakini suruali hiyo ni kua tu malicious. Kuna mmoja alificha bangles zake chini ya pillow akijua tu zitapatikana na my favorite girlfriend
 
#15
JInga kwani huwezi beba colleague mukienda field . wacha na nywele mimi bibi alipata thong chini ya passenger seat , sijawai jua ni muhuni mgani aliwacha ngodha kwa gari akaenda nyumbani bila siruali , i mean ukiskia ile mharo slippery imwagike hapo CBD ? jinga kabisa .
Huyo wa kuacha ngotha anakupima akili, usipo mushtua ata mimba atakuletea.
 
Top