Woofer Humming

So I used this woofer yesterday for some bash. I got it from Jumia, a DJACK X3. Today when I plugged it in power, there is this annoying sound, like of a shaving machine, its soo loud I can’t enjoy music, unless I play at higher volumes which I don’t want. I’ve tried looking for some online trouble shooting tips can’t find any, please don’t tell me to take the stuff to an electrician, the stuff is only a month old, and don’t tell me to return it to where I bought it from, it will take ages to have it corrected, saidieni tu mnigga na suggestions ya kuunda burungo, sandeni sana

Kuna kaburungo fulani kwa core ama center na ndani kako na wire zime windiwa , sana sana ndio kameachilia , unfortunately not soo many fundis will give you a perfect solution. enda tu kwa fundi ule mnoma unaamini

A torn driver diaphragm

can be a torn diaphragm or one of the Ics imechapa ama Tx iko na shida , if your troubleshooting skills are in order a digital meter will tell you where the problem is but ujue bado iko na warranty and as soon as you open it kaput

Mimi huamini ukishaanza kupeleka kifaa cha elektroniki kwa fundi then inafaa pia uanze ku-save for a brand new one, coz itakua shida tupu.
Mimi around 5 years ago, nilibuy ampex (ile time ampex ndio ilikua kusema, sanasana na mahasora) mbili in a span of 6 months. Ya kwanza within 3 months ikatoa iyo sauti ya kunguruma, nikaitupa chini ya bed. Nikabuy ingine, within 2 months pia ilikua imechapa.
Hapo ndio nilikimbilia creative, 4 years later bado ziko. Zilikua cheaper, with better sound quality, and smaller in size. Lakini mi huzitumia na PC, pia I’m not an audiophile so sijui mahitaji yako ni yapi.
http://www.asianic.com.ph/products/adi-creative-a120-1.jpg
Na izo zangu ni 2.1, so I’m guessing 5.1 ndio mambo yote.

^^Creative iko poa, i have one from my college days na iko fiti though nilihamia sony home theater

“DJACK”…this is the problem.

indeed

@Jimit my younger bro, ni juzi tu niliku advice story za electronics purchase but nikama hiyo advice ili Malaysia before uiget.
Even u buy stuffs online doesn’t mean there products are reliable or genuine, You rather have one reliable supplier who offers u best and genuine products and he is easily accessible and can be relied on incase of any eventualities.
Remember buys electronics whose service centers are readily available within the country. Am here for u bruh

sawa mhenga, advice yako nliget na nko nayo

:D:D:D:D,Hapa ndio mimi naskia kukuchekelea but wacha tu nicheke leo.
Ni kama kuwa mgonjwa but hautaki kwenda hosi wala kunywa dawa ila wataka kupoona.

Pia mimi niko na creative 2.1 bought it way back in 2008 na bado ziko form,nilikuwa nazitumia na Lapie later used them kwa Sony B series.

rudisha mahali ulinunua:D:D

me apana tambua za duka.[ATTACH=full]103980[/ATTACH]

Hii ni uchawi. @vuja de umeona hii?

Asiii wee

huku kunakaa kuungua anytime:eek::eek:

Birrionaire hapa natumia Pioneer w308d4. kama my bass driver, Google that! Midrange ni za kusalvage kutoka kwa ampex…niko na tweeter pia. Hapan tambua shaina shyet kwa bass.

My fren, kimbia pale Gill House kuna duka inauza second hand audio solutions (speakers, AVR, Hi-Fi systems, amps, pre-amps e.t.c) ushike speaker huko ya JBL/Pioneer/Yamaha/Technics/Harman Kardon e.t.c

Kwa mancave niko na technics ya '92 na speaker za pioneer private SV650

[ATTACH=full]103990[/ATTACH]

hii image ilikuwa processed na Mediatek?