Working from home...

[MEDIA=twitter]1243893418801213440[/MEDIA]

Ghaseer imeiba pesa za tender na ikalipwa mpaka farting allowance inaeza afford kukaa nyumbani ata miezi tatu…mimi peasant salo ya 9k imekuwa halved “until further notice”, nitatoa wapi nguvu ya ku-bust a rhyme jamaneni?

Jamaa amepunguza uzani. Hii kukaa kando ya Bibi ni stress tupu.