kiukweli WC 2018 Russia ina mambo mengi sana ya kustaajabisha Mpka sasa naona magoli mengi yamefungwa raundi hii awali na matokeo yake ni ya kushangaza sana ,timu kongwe zinapata shida sana safari hii hii ni ishara mbaya sana kwao Mimi binafsi nawapa Belgium nafasi kubwa ya kufanya vizuri
naombeni na ninyi wanakijiji wenzangu mnipe maoni timu gani unaisi itachukua ubingwa mpaka muda huu kwa mechi zilizo chezwa
Senegal,belgium ama portugal.
Haina maajabu ya aina yoyote ileā¦
What is punctuation called in Kiswahili?
Senegal ndio tegemeu letu Africa
Nalog off
Ngoja zile timu takataka zitoke kwanza kisha ndo watabiri wafanye ramli
HAHAHA
vituo vya uandishi