Wrestling (Mieleka) Special thread..

Wale wazee wenzangu wapenda mieleka tukutane hapa kwa ajili ya kujadili mawili matatu yanayohusu mchezo huu pendwa.

Kwa kuanza tuangalie Money in the bank iliyochezwa jumapili iliyopita, monday night raw na smackdown live ya usiku wa kuamkia leo.

Hivi Startimes kuna chanel yeyote inaonyesha mieleka

Miye team Roman Reign,John Cena,Triple H,Shawn Michael

Reigns alimfanya kitu mbaya sana Jinder na kale kajamaa kake kwenye #MITB

Jindal Singh?alimfanya nini nna km miezi miwili sijaaangali…ila daah!Roman reign namfananisha na Jeff hard

Huko sijui mkuu, njoo SDTV upate uhondo

DSTV nitaingia ila sio sasa hivi

Hakuna kingine zaidi ya kichapo, tena kitakatifu

jindal ashindane na Reign?

Karib sana!

Kule si kila mtu anataka kuchukua ubabe kwa kucheza na watu wenye majina

Y

Yaani utashangaa kijitu kidogo kinataka kumvimbia sheamusdaah!

Ila shemus wa kawaida sana, anazidiwa mbali na team partner mwenzake Cessaro

Roman alishinda Mone in the Bank

Ya mwaka gani?

Sifuatiliagi fake competition, labda nikutane nayo kwenye Tv tu ntaangalia kwa dakika kumi

Nashukuru roman kumfanyia mbaya Jindal Mahal

:cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool:

Mie kwenye mieleka namkubali mzee wa RKO wakuitwaga Rand Orton the legend killer,nimemuona live akizichapa na John Cena 2007 pale Johannesburg
Nalog

Mysterio Bado Yupo