Wtf am not good in anything

Fucked up life… Mimi huu ushenzi bana… nakulia ras tu hiki kimaisha nitakitupilia any time soon.

Iko nini nyundoSleji? Saa zote unafikiria tu kujitoa uhai? Kwani haunanga family (buda/masa) wa kwenda kugotea wakurushie baraka ivi-ivi?

bana nyinyi maisha yenu iko tu sawa. huezi elewa

If you weren’t good at going to the shop, hungekuwa unatumwa

Maisha yetu haiko sawa, na kule nimetoka haikuwa walk in the park. Lakini nilikalia maisha kichwa ngumu. Endelea kuhustle na ukalie maisha ngumu

Figure this. Waititu ni governor. Kuteseka ni kwa muda kaa ngumu

Mse chapa codeine ndani ya black currant …see the peace …n thank me later

Unasolve shida za watu na hujawahi jua kuosha qma

Hiyo si kiriminoo?

Brathe acha kuharakisha maisha. Live in your current economic status sio kujaribu kufikia matunda na huna nguvu ya kupanda mti. Jijenge pole pole and carefully and push yourself. Kuteseka ni kwa muda.

Your insults the same since 600BC

Missed the target …coz there weren’t Christ

Tafuta C# for dummies uanzane nayo.Dev haijui papers but skill.

You’re always whining about your problems. Fact is that no one has it easy, kila mtu anapambana na hali yake.
Toughen up!

Enda utembee hosi ward ya watu wanakufa na cancer and other terminal diseases and disabled people then ujiangalie kwa kioo utajua you are very lucky na shida zako ni kidogo

Says one who has no moral authority to yap so

Niaje swiry, missed you big. :smiley:

Stoopid advice, typically Kenyan

Bingwa unasumbua

I ain’t buttin’ …

@PrimalFear mbona umengoa thread?