XIAOMI

Soprano

Village Elder
#26
na kama hauna box number hua kunaenda aje
Give the nearest primarily school one.Ikifika uko utaendea tu na I.D card
AliExpress shippings are always registered mails. Mimi sina p.o. box. Huwa unapeana zip code ya ile general post office in your area. Muhimu ni namba ya simu. Parcel ikifika unapigiwa simu. Kama ni DHL, sometimes they ship by DHL, hao pia ni hivyo hivyo.
 
Veccino

Village Elder
#27

Ndio nimeambia uyo Jamaa kama ako mashambani
 
Veccino

Village Elder
#35
Chinkus wanajua kucheza mchezo wa chini ya maji. Wakikuuzia, mnaweza kupangana nao waandike ni free gift ama ni sample, ama wafalsify the price kulingana na mapenzi yako!
Its true wanajua kuficha game.Ni watches pekee nililipia tax vitu zingine hukuja kama gifts
 
Stinger

Village Elder
#38
4GB RAM, 128 GB ROM...its a typing error...to make it better it comes with a 5300 MAH massive battery..nikona 25k wacha nitafuta 12k ninunue hii phone...Xiaomi are upping their game and I like it..
 
Top