Rizespor-Osmanlispor OVER 2.5
head to head haileti shangwe; though niliekelea NG
51 mins still 0-0
Hii hata kamoja hawakai kufungana…86th min
And away team scores…as usual. Game ikwishe ivo kabla wa-equalize…
Imeingia, lakini huyu manki ni kama anakuanga ametumwa asoteshe wanaume
:D:D:D:D
Ni game ikiingia swara. Ukicheki last 5 games za away team most zimekuwa O2.5, but head to head yao away team ndio imeshinda na bao moja tu… Hio situation huwa tricky kupredict…
1 Like