Yeah well..

I

introvert

Guest
#17
Watu wakulala chini ya gari na kuchukua ma engines ikifika jioni wanakuwaga wamepiga gym Kali kuliko wa class..
Wueeh, growing up, there was a super man called Martin Atonga who used to fix my Old man's Beetle. He used to undo the bell housing and engine mounts then let the engine rest on his stomach, halafu anaslide nayo kutoka chini ya gari.
Kazi yangu ilikuwa kumshikilia torch.
 

Top