Yet another day on the A109

chriskiil

Village Elder
#9
is it advisable kuingia kwa maji mingi kama that first pic ya gari ya yellow ukiwa na gari heavy na ujui how stable the soil is?ingine ni kurisk sana aisee
 
Meria Mata

Elder Statesman
#10
is it advisable kuingia kwa maji mingi kama that first pic ya gari ya yellow ukiwa na gari heavy na ujui how stable the soil is?ingine ni kurisk sana aisee
hapo ndipo skills huonekana, yule jamaa ako mbele yako anaweza pita nawewe ukwame. then another driver coz of delays will come and drive the truck for you coz you are blocking the road, saa hio ile matusi umeitwa imetoka from msa hadi kigari
 
Top