Young Africans Special Thread (Uzi maalumu kwa wana Yanga)

#8
Karibuni tujadili yote kuhusiana na club yetu pendwa, club yakimataifa, wababe wa ligi kuu soka Tanzania bara mara nyingi zaidi, Club kongwe zaidi nchini Tanzania, karibuni sana.
Hivi siku hizi kumbe hata Timu za ' Kipumbavu / Kipopoma ' nazo huwa zinajadiliwa na wale wenye ' akili ' timamu?
 
#9
Nasikia kegere anaenda dar young
Kama kuwalipa tu Wachezaji wenu mishahara yao wanayowadai ya miezi miwili hadi leo mmeshindwa na mmewakopa ndiyo mtaweza kumsajili Medi Kagere kwa Tsh 130 Milioni wanazotaka Gor Mahia huku Yeye mwenyewe akiwa anataka alipwe mshahara wa Tsh 11 Milioni kwa mwezi?

Watu wa Yanga SC kuna muda huwa mnachekesha na kutuaminisha pia kwamba mna matatizo ya akili / upeo.
 
Sijuti

Village Elder
#10

Umebaka uzi
 
#13

Nasikia kocha alikuja fanikisha kupata ubingwa wa ligi baada ya ukame wa zaidi ya miaka 3 mmemtimua kama mbwq koko
Aisee nyie hambebeki
 
Top