Young Kikuyu Men

sani

Village Sponsor
#1
Mkikuja Nairobi fanyeni kazi na bidii wazazi wenu wasipate ii aibu ya kuvalishwa gunia na nguo chafu za kitamaduni.
IMG_20210102_125726.jpg
 

Wanaruona

Village Sponsor
#6
School fees lazima itafutwe. Mimi saa hii nikiwahonga na mbuzi na muratina they will make me an elder. Kikuyu council of elder even though ama bachela.
Hakuna watu wajinga kama huto tuzee. Njaa na pombe ndio their undoing.
 

Top