Young life

When I was growing up.

Back in those days when tarmac road was only in urban, our rural village was and will be the best all the time. Kizungu kando one-time nikiwa class 4 i developed habit ya kutoeda shule. Nasida ka nimejificha time ya jioni natokea na kufuata wanafunzi wengine na ku home. This habit continue for 4 days bila Wa Muiruri kujua. Litle did i know mwarimu aliadika barua na kupatia joki apeleke kwetu. Mi kama kawa nikarauka Friday na ku park food na kwa mtindo nikajifanya nimenda shule. Kumbe mum alisoma barua na hakuniambia. Mum alifika shuleni bila mimi kujua. Friday ilikuanga ni day ya kupewa famous milk ya nyayo lunch time. Hakuna vile ninge hata hio maziwa. Nikajitokeza ku kwachu yangu. Teacher on duty akaniuliza kwani ulikua wapi umejaa manyasi kwa kichwa, kugeuka nyuma kwa sweater nimejaa majani ya minyua mai i mean mifau. Nlistukia nimeshikwa mkono na kuambiwa utasema ulikua wapi. Mbio mpaka staff room. Viboko zikatamba after interrogation na kujurikana nimekua off for 5 days. Ata class teacher hakuniambia mum alikua amekam na wakaongea. Saa tisa ikafika na nika home.

Kufika home ni kujifanya mtoto mzuri, kuchukua kimbuyu na kukimbia mtoni kuchota maji. Sa hio mum ( wa muiruri) ni jicho tu ana nipea. Alingoja mpaka nikule super. Kitu saa tatu Bro akaulizwa ulileta chenye nilikutuma? Kumbe alikua ameambiwa akate viboko kwa kichaka. Bro nae nikama mjinga. Alitoka inje na kurudi na a bunch of more than 20 good canes, na akafunga mlango. Hapo hapo nika tence nikajua ni kumbaya. Nikajifanya nataka kweda kukojoa, ile kofi nilichapwa na bro ata ya kidero ni soft. Hapo hapo nikajipata in a Court Room na kusomewa mastaka. Ofcos hakuna vile ningeitikia. Evidence ikatorewa na judge (wa muiruri) ya letter kutoka shule. Hapo hapo viboko kama kumi zikafuata na maswali kimbao. Nilikua naeda kukinga hewani kiboko bro nae ana niwekerea ya tumbo. Najaribu kupiga nduru nikama all my angel wote walikua usingizi. Kiboko ikikatika wanachukua ingine
Nlichapwa mpaka nikaona mawingu imefunguka. Just as u know ukipiga paka kama umejifungia kuna kuanga na 2 option

  1. Ni either ikuchape
  2. Ama itafte mwanya ihepe.
    Mi nilichukua option 2. Nikapanda juu ya cabat na bado saa hio na chapwa nikaruka na kugonga mabati za kona za nyumba na kichwa. Ikatengeneza ka mwanya. Nikarudi tena na ku gather all my strength nikagonga tena na kujipata inje. Kabla wafungue mlango nlikua nimegonga kichaka na kujificha. Chenye nilikua na skia ni matusi na usirudi huku kirimu giki, nikafa ingiaciarite irigu ririo. Enyewe that mark the beginning of another life. Life ya msitu
    Si tukutane next chapter ni wahadithie hio life

Kumbe ulikua kihii kiaganu

Wewe ni wa hapa kiambu?
Story si mbaya lakini umehujumu kiswahili.

Hahahaha. Leta part two haraka sana. Good read though

Hekaya safi

Hekaya safi

usirudi huku kirimu giki, nikafa ingiaciarite irigu ririo.

Great story because I can relate to 80% of it.

Hekaya swafi, leta part two

Where is the continuation? Swafi tale

Kumbe hawa mungiki huanza hii ujambazi mapema hivi!! Class four na tayari ni jambazi sugu

Anyway hekaya safi. Nothing beats growing up upcountry back in da day

haha, nice story, thanks.

Can relate.

:D:D