youngest single father 2

CONTINUED…

      Baada ya kupata kazi ya soldier kwa garage nikaanza kuchangamka sasa usiku nalinda magari na spare parts  mchana na nalala but mshahara ilikua 100 but anway nlikua naiba mascrape naenda kuuza tononoka ama hapo buxton place kuna nyumba za mombasa city council kuna mgreek alikua anaitwa sammy..nkipata doo  naenda pale baharini chini ya makadara hospital kuna ghetto iko hapo uitwa moroto kubuy weed.....pia hapo moroto ilikua tunalipwa na mapedler kila Monday mnashikana wasee kama kumi hapo mnakunya kwa barabara ili makarao wakikam wapate kumejaa mavi iwe hawawezi ingia huko moroto ghetto.....!!
  siku zikasonga yule mzee mwenye garage akaanza kua wakifunga kazi haendi home mapema ninakaaa nae hadi saa sita tukichapa stori thou alikua mless akua anabonga sana.one particular night mzee akanishow vile wife wake wanakaa wakikosana kila time,akaniuliza vile mimi umaliza stress nikamshow mimi uvuta weed  tu,akanishow nibuy tuvute,mimi huyo hadi moroto nikashika mbili za soo,nikakam tukavuta zoote i could tell hajawahi smoke vile alikua akicough akipuff.kesho yake alipokam akanishow hajawahi kua na peace of mind ivyo!so ikawa mazoea kila siku tunavuta bangi usiku...hadi mshahara ikapanda kutoka 100 per day hadi 2k per week........hadi siku zingine namtaftia tudem hapo kuna hostel uwa hapo anabinjua.....

after some time nikatoka kua soldier hadi storekeeper hata nikashika keja likoni nkaacha kulala chini ya magari.
2012 nikatoka hapo nikapata kazi ya turnboy wa fuso flani ya msomali.but nliacha after siku moja kubeba mbao tukalipwa 45k na huyo dere nlikua nae akanipa 2k nkaona akiwa na na tamaa sana nikamwachia zote na nikaacha kazi na sikunitch kwa msomali…after muda flani nikapata kazi ya turnboy nanak trucking mshahara iliwa 12k per month but uzuri madeal yalikua mengi…ata nikahamia mukuru kwa njenga after few days nikatumana anita na mtoto wangu niishi nao nairobi.
life haikua mbaya sana nlijituma kama wanaume wengine nitunze familia yangu.
2012 july sikumbuki exact date but ilikua sunday mchana nlikua ndio nafika nai kutoka juba…mimi huyo hadi kejani but i wish nisingeenda amini usiamini nlipata my anita akifuckiwa hapo kwangu…mtoto wangu yuko hapo analia…iliniuma sana but mimi sijafunzwa kupigana hata sikuwauliza kitu,nlichukua my kid na nikaenda kwa beshte yangu nikashinda hapo hadi saa mbili! nikarudi nyumbani anita yuko hapo akijitia huzuni mimi hata najifanya nikama sikuona lolote.akapika tukadish ,Mimi nikalala ,kesho asubuhi nikaacha thao tatu ya matumizi na nikaenda yard pale mlolongo…but gari yetu ilikua imeharibika gear box so hatukuenda msa… kurudi kwa plot anita hayuko,kuuliza naskia alisafiri nyumbani,nikacall mathe akanishow hajaenda huko,pia kwao hayuko!ilinipa wasiwasi but baada ya siku kidogo mom akanicall akanishow wamepata mtoto hapo home amedumpiwa hapo!
after mtoi kuchukuliwa na mom mimi nikaendelea kuchapa works but siku moja yule dere nlikua nae akaamua kunisaidia tukauza CPO yote na tukaangusha gari karibu na voi watu wakachota kidogo ili ionekane ni kuibiwa izo doo tukagawana mimi nikaacha kazi ya malorry.nikarudi shule,saa ii uwa naandika stori,nachora graffiti na branding its almost 5yrs sijaona anita na macho naskia akona watoto wengine wawili na naishi na rose mwanangu

wa! wa! wa! Mimi basi I’ve got no story to tell kama haya ndo masaibu mandume hupitia

wa! wa! wa! Mimi basi I’ve got no story to tell kama haya ndo masaibu mandume hupitia

masaibu

This is the same guy who told us he is sustained by sugar mummies in kitengela 411? @Ice cube tusaidie na link.

[ATTACH=full]142321[/ATTACH]na kaa pale >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

.
tuliza nyege saa ii naishi kite nyuma ya eastmatt

:(:(:eek: mwanaume anajaribu kureform anita ana amua kukuliwa dry fry kwa nyumba unalipa rent

wah.iza king man.mwanamme upitia mengi.wah.i thank sir Jah sijawahi pitia mambo ingine after high school and my six years in marriage.God is good all the time.ahem

baaana

so sad madze.uliweza kulala hio keja na hio hasira yote.mimi naeza chinja mtu.but heri hivo ulinyamaza

Ugua pole kaka

I should definitely shut up ,stop whining and I do something… Kumbe hata sjapitia Shiet… Waaaah congrats bro

Wooishe pole sana. So are you going to re-marry and start a new family…

When I read such stories, I thank God sijapitia mambo mengine:eek::eek::eek::eek:Unakuta bibi akikamuliwa dryfry kwako then anapeleka mtoto kwenyu anamdump…waah

am 25 I’ll remarry wen am 49

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D oh my precious ribs. Nimekufa! Hapo sawa. Bora tu Rose is in the mix.

https://scontent-ams3-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-0/cp0/e15/q65/p296x100/12313998_411320499067389_1430450187709148541_n.jpg?efg=eyJpIjoiYiJ9&oh=eb63fe8b71a47b5f01851a0224630590&oe=5AA0EF55

click that link uone rosie

I love it…she looks v happy and content.

I like your courage to fight on…Maisha ni kukazana