youngest single father true story

nikiwa form four nlikua na galfren but hakua akinitrust,time flani akaamua kutuma beshte yake kwa jina la anita akam kuniseduce ili wanipime kama nko trustworthy,so anita akaanza kunizimia macho nikasense nikama nachezewa so nikaanza ingia box yake kumbe kando nakua nlikua chali ya beshte yake alikua akininoki chini ya maji! so weekend moja akanipa pussy mimi nkaichapa but shit happened! alipata BALL.
siku moja nikitoka shule since ilikua days caller nikapata wazazi wa anita hapo kwetu…mimi nikawagotea na heshima na nikaenda kuchange nguo,after some minutes nikaitwa kuulizwa kuliendaje nieke mtoto wa village pastor mimba!mimi nikanyamaza anyway wazazi wake wakadai tuowane tukiw chuo but my mom akakataa akasema tumalize chuo kwanza…
ff… so muda ukaenda na exam ikafika tukamaliza shule…na tukaoana,
January 27 2011 my daughter rose was Born…shida ilikua bado nlikua nadepend on mom kila kitu nguo food zangu na za wyf na mkid! story zikaanza mitaani ati nalelewa bibi na mama,ziliniuma sana nikaamua kutoroka nihepe aibu!
july 2011 sikumbuki exact date nikaibia mom 5k na nikaishia Mombasa.kufika 001 sikua najua anyone siku za kwanza nlikua nalala lodgo zile za 250 pale changamwe hadi nikaishiwa, doo zilipoisha nikatembea hadi town kutafuta job but sikupata.katika harakati za kutembea nikajipata buxton pale stage ya malindi…hapo ndio nlianza hustle ya kubebea wasee mabag ama kuwavukishia road hapo saa zingine naosha izo mat za malindi but still singe afford kulipa keja nlikua nadoz kwa zile bench uwa hapo stage ama kwa ile tunnel uwa hapo Buxton ukicross kuenda tudor.
siku moja nikapatana na mechanic flani mdogo sana anaitwa kamwana nikamshow anitaftie kazi kwa garage…aknishow twende!tukaenda kufika nikapata mwenyewe anaitwa kinongo akanishow labda niwe soldier wa kulinda magari na mshahara ni 100per night.
.nikakubali since sikua na ujanja…

nmechoka kutype nitaedelea

Small penis man weka summary.

mtu akieka summary still mtateta

Hekaya iko chonjo, maliza omwami.

Brazza Kuja ukunywe chai hapa mbele ya kamwana carwash… Nyuma ya Cool breeze. Asante kwa kutuangalilia magari.

huko nlitoka

Hope sio wewe ulinibebea sparewheel na sidemirrrors pale kwa masaai

mimi nlikua kwa kinongo ile garage uwa pale buxton kwa ile chuo uitwa citc

OK… Maliza hekaya.

iiiiii ujinga ya nimechoka kutype wacha tuheshimiane “tafasali…” hakuna haja ya kuleta hekaya 1/4 mkate na nusu mkate apa… ama mnathani ni inshi twa andika apa tuna ambiwa tumalizie story with our own words

Damn the struggle but usiweke chuki always push forward
[ATTACH=full]142134[/ATTACH]

maliza heka @Saintonthebeathoe

halafu hii heka igekuwa poa kama ugekuwa mechanic na sasa jina yako ni @introvert

Forrowing

Forrowing

leta thuluthi nyingine upate like

Nimewachia hapo

It’s good ulinyakua Anita because shule haikuwa inakusaidia.

Hii maneno ya following tulisema ibaki huko kmds, kwanza nashuku wewe ni purity nduta.

watu wa kmdu ni wa puzi sana

you are still young and will make it with yr young family , jikaze tuu.